Tatizo linaweza kuwa kwake au kwako.
1. Kwake-possibilities
-stress za kazi(kama ni mtu alie bize)/maisha
-hana mapenzi na wewe/mapenzi yamepungua/amepata mchepuko unaomkuna vizuri zaidi
-dalili za "menopause" kama wife wako amefika 45 or above
-side effects(madhara) za dawa za uzazi wa mpango(kama anatumia)
-tendo hilo inamkumbusha jambo la maumivu; mfano kama aliwahi kubakwa
-mnafanya tendo hilo kimazoea sana "business as usual" hakuna ubunifu wowote, hakuna jipya so she is bored with that monotonous.
-dalili za mimba changa-kama bado yupo katika umri wa kushika mimba na hatumii njia za uzazi wa mpango.
2. Kwako-possibilities
-humuandai kiasi cha kutosha so hapati raha bali maumivu hivyo anaona ni karaha au huuelewi mwili wake vyema na jinsi ya kumkuna vizuri.
-usafi wako wa mwili hauridhishi mfano unanuka jasho/kikwapa/mdomo au sehemu za siri
-ulimuudhi mfano amegundua una mchepuko kwa hiyo hana furaha na hilo tendo
-unamnyanyasa/humsikilizi/kuna ahadi hujatimiza hivyo analipa kisasi
Jaribu kukaa chini na kutafakari along those lines, halafu uangalie a way forward.... Pia nakushauri siku moja umtoe out muende sehemu tulivu yenye faragha na umuulize kwa upendo na upole kuwa tatizo ni nini