Mke wangu hapendi kushiriki tendo la ndoa

Mke wangu hapendi kushiriki tendo la ndoa

pole sana mkuu,yani unataka kuniambia toka mmefunga ndoa mpaka sasa hali ndio iko hivyo au ilianza kutokea baadae kidogo?na wewe ulivyolichinguza hili suala kabla ya kulileta hapa umegundua kitu gani cha kuanzia!
 
kwa majibu hayo ni huyo jini mahaba ndiyo anayefanya kazi badala yako, nilidhani anatatizo kama nililopata mimi ila kwa sasa nimeshapona, ili kuwa nikofanya napata maumivu ya mguu na unauma kwa week mbili hadi tatu ndiyo ninapata nafuu, ila sasa nimeshapona.

Pole sana, hongera kwa kupona.
Asante.
 
Natumaini nyote wazima.
Naomba kusaidiwa jambo hili huwaje. Ninaishi na mke miaka miwili sasa, lakini nakosa furaha kabisa kwani tendo la ndoa linafanyika angalau mara 1 kwa wiki 2/3, tena kwa "ngumi". Mwenzangu anasema hajisikii.
Jambo hili ni kawaida?

Mara nyingi ni ujinga wa wanawake wanatumia V kama silaha ya ku revenge au kukomoana. Namalizia kwa kusema kwenye hili ushauri sina.
 
pole sana mkuu,yani unataka kuniambia toka mmefunga ndoa mpaka sasa hali ndio iko hivyo au ilianza kutokea baadae kidogo?na wewe ulivyolichinguza hili suala kabla ya kulileta hapa umegundua kitu gani cha kuanzia!



Nashukuru mkuu, jambo hilo limeanza kujitokeza mwaka mmoja baada ya kuoana.
 
Mara nyingi ni ujinga wa wanawake wanatumia V kama silaha ya ku revenge au kukomoana. Namalizia kwa kusema kwenye hili ushauri sina.


Nashukuru kwa hilo pia.
 
mmmmh kweli tuko tofauti aiseee lakini sidhan kama anatatizo labda aseme ni kautaratibu amejiwekea
 
​ukisikia chwii chwiii chwiii, ujue kanasa tunduni huyo
 
weka picha tuone kama ni kweli kuanzia mlivyolala hadi mnaamuka
 
spiritual husband (mume wa kiroho<?>), ndo ikoje hiyo?

Fuatilia emanuel tv huwa wakati wa maombezi wanawake wengi wanakutwa na spiritual husband anakua na mwanamume anayemmliki kimazingara bila yeye mwanamke kujua au kuridhia so yule man anamfanya mwanamke awe anawachukia wanaume wengine na wala hatamani sex na any man bt huyo spiritual ni mbaya sana hii usiombe. Kuna rafiki yangu wa kike kaskazini mwa tanganyika huko alikua na hilo tatizo.
 
mwombee Mungu atamfungua, kama huwez omba msaada kavamiwa na wala usimchukie, Mungu amfungue tangu sasa kwenye vfungo vya pepo wachafu kama unaamin sema AMEEN..
 
spiritual husband (mume wa kiroho<?>), ndo ikoje hiyo?

Mara nyingi watu wenye spiritual husband huwa hawaolewi ndio maana utakuta wadada wengine umri unaenda anakwambia mimi sitaki kuolewa kabisa, ndio hayo mabwana huwa yanamfanya awachukie wanaume. Ikitokea dada huyo akaolewa hawezi kufurahia ndoa yake kabisa, kila siku ni ugomvi na anakosa hamu ya tendo kabisa. Ama akishiriki tendo anajisikia maumivu kupita kiasi. Hayo mashetani yanamsababishia hali hiyo ili asishiriki na mumewe lenyewe liendelee peke yake.
 
nakuonyesha tharau? Sasa ukiona anazingua basi na we kuwa busy tu na simu nini, pendeza, rudi umechelewa....kama abawivu basi jua bado penzi lipolipo. Kama hakujali....mmh ogopa!! Piga...umbafu!!
Lazima akupe dudu...haki za msingi hizo.

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
Watu wanapenda kukimbilia kusema majini mahaba lakini hata sio wakati wote ni jini mahaba
Kuna watu wanaolewa na watu fulani kwa malengo fulani lile lengo linapokuwa halitimilizwi huyo mtu hatakuwa na furaha na wewe
Kunapokuwa na vikwazo vidogo vidogo katika nyumba mtu hawezi kuwa na hamu ya sex
Harufu katika mwili .Jasho , kinywa ,kikwapa nazo pia ni kero mtu hawezi kuenjoy sex
Inawezekana kapata mtu anae mkuna vizuri nje we anakuona unaruka ruka tuu may be you don't know how to touch her, to kiss her, to do her akikufananisha na aliye nae nje.
Au na wewe una mambo yako nje kayagundua anakupa adhabu
 
Natumaini nyote wazima.
Naomba kusaidiwa jambo hili huwaje. Ninaishi na mke miaka miwili sasa, lakini nakosa furaha kabisa kwani tendo la ndoa linafanyika angalau mara 1 kwa wiki 2/3, tena kwa "ngumi". Mwenzangu anasema hajisikii.
Jambo hili ni kawaida?
Atakuwa mchaga lazima.. If true ntakwambia SIRI if not sina Cha kuchangia . Asante
 
Badilisheni mfumo wa Maisha ya mapenzi, angalau mara mbili kwa mwez muwe mnatoka "out" kwa ajili ya chakula cha jioni au hata cha mchana sehemu ambazo unaweza kuzimudu ukilinganisha na kipato chako! Mara nyingine muwe mnalala hotel ili kubadili mazingira mloyazoea ya kinyumbani nyumbani! Mara nyingi ndoa bila kuchangamshwa inasinzia hata kuvunjika uvumilivu ukikosekana pande zote mbili!
 
Back
Top Bottom