Mke wangu hashiki mimba, naomba msaada wa mawazo

Toka nimeoa nina miezi sita
Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika
Nini inaweza kuwa sababu ya hili
Tiba yake ikojen
Msaada wa mawazo kwenu wataalam

Sent using Jamii Forums mobile app
Miezi 6 ni mapema sana.

Ila, una uhakika mbegu zako zina rutuba ya kutosha kuweza kulirutubisha yai lake?

Je, yeye naye hana tatizo?
 
Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?

Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize Mara ya mwisho kuchoma sindano ya uzazi ilikuwa ni lini ili ajue muda bado wa sindano kuisha mwilini.Atapata tu
 
Inaumiza sana hii, vijana wenzangu tujitahidi sana kuishi maisha yetu ya asili.

Wanawake :- hii ni sumu mbaya sana kwenye masuala ya uzazi
. Vipandikizi
. Njiti
. Vitazi
 
Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?

Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanted to make fun out of it ila pole. Miezi 9 iliopita wife na mchepuko walinipa taarifa za ujauzito ndani ya siku Moja, nilishanganikiwa kwa muda ila now na enjoy kucheza na watoto wa siku 17 na 18 respectively.
 
Pole Kwa changamoto hiyo mnayopitia ....

Miezi 6 ya Ndoa nadhani bado ni kipindi kifupi kuweza kuhitimisha kuwa Mkeo Hana huo uwezo

Nafikiri mkapime nyote wawili kuweza kujua undani wa tatizo lenu.

Lakini pia muulize Mkeo ana muda gani tangu aache kutumia uzazi wa mpango iwe sindano/dawa ama kitanzi (Uzazi wa mpango unatumiwa na Wanawake wengi tena Kuna wakati wanatumia Kwa Siri- hili nimetumia uzoefu tu japo inaweza kuwa huyo mkeo anaweza asiwe mtumiaji)

Ni vyema kujua hili maana wengi huhitaji muda zaidi ili kuweza kurudia hali yao.
 
Sikuhizi kabla ya kuoa wengi wanatesti mitambo kwanza kuona kama shamba lina rotuba ya kuzalisha.

P2 zimekuwa kama pipi, mabinti wanatoa sana mimba, sasa useme uoe bila kutesti mtambo ni hatari sana hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…