Mke wangu hashiki mimba, naomba msaada wa mawazo

Mke wangu hashiki mimba, naomba msaada wa mawazo

Furahieni ndoa yenu kwanza. Miezi 6 bado ni mapema sana kua na wasiwasi. Mkianza purukushani za vilio na diaper mtamiss hiyo Miezi sita mnayoiharakia
 
Chukua ute wake kwenye vidole viwili hlf tanua! Ukiona ute umevutika bila kukatika na wewe shahawa zako ni nzito
Vuteni subra hata after 1 year ndo mkapime hospital
bi shostie na wewe upo kwa anga hzo?
 
Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?

Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mkeo mnahesabu siku za nini? Kuna watoto wachovu sana. Mkeo unapiga kila siku bleed ndo inawazuia tuu. Wakati kijana haiwezi kupita siku bila hata kimoja kama tupo wazima. Sasa unahesabu siku una matatizo.
Usianze kuhangaika bado mapema hao wanawake wa siku hizi wamemeza ma p2 mengi sana Sasa mwili hadi urudi kawaida siyo leo. Kuleni maisha kwanza miaka 2 mwili utakaa sawa.
 
Me nilikuwa napiga Kila siku asubuhi mchana jioni, , yani ilikuwa ni utamu tamu Kila mda, piga shine kilaa siku
 
Miez 6 n michache kuanza kupata uoga. Miaka 2 ikipita ndo wasiwasi wahitajika.

Ila nakushauri nendeni hospital mukapime wote wewe mbegu zako kama nyepesi au huna uwezo wakubebesha na mkeo km anauwezo au lah, vp anapata ute cku za hatari? Vip a aujua mzunguko wake vizuri na ajue mzunguko wake ni wa siku ngapi kama 21/25/28/30/35?

Akishajua hivyo mutashauriwa cku za kukutana au mutapewa dawa na milo ya kula kama lishe.

Pia nataka kujua upo mkoa gani?
Ukipima mukakuta kila kitu sawa kuna dawa za mitishamba ni mzizi umesagwa unakunywa wewe na mkeo asubuh na jion ndan ya mda wa wiki 1 kuelekea kwa cku za hatari.

Ni bure tu nitatoa kama msaada ila kama utani offa si mbaya[emoji4].
Asante kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaumiza sana hii, vijana wenzangu tujitahidi sana kuishi maisha yetu ya asili.

Wanawake :- hii ni sumu mbaya sana kwenye masuala ya uzazi
. Vipandikizi
. Njiti
. Vitazi
Nipe elimu mkuu, Njia gani ni salama za uzazi wa mpango kama hizo ulizotaja umesema waziepuke.? Hizo njiti si zinawekwa hospitalini?

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?

Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unafanya Kwa formula!!?

Watoto wanaletwa na mungu sio kwa kanuni!!

Msiwe na kanuni piga kazi wakati wowote unaotaka Mungu hapendi kuchunguzwa lini ataumba Kiumbe chake!!

Uumbaji ni siri yake!!
 
Kama hakuna dakatari wa kuwasaidia, badilsihen diet yenu muwe mnakula majimbi sana. Hamtakawia kutengeneza mapacha
hebu fafanua hapo kwenye magimbi yana husiana vipi na kupata mapacha ukila kwa wingi
 
Mkuu wewe endelea kula mzigo tu usihangaike na siku wala sijui dawa za miti shamba hata mimi mwanzo wife alianza kuhangaika nikamwambia usiwe na hofu tutapata tu jana kaenda kupima imo. Punguzeni presha kuleni vizuri mpate muda wa kupumzika mtapata shemeji tumbo litajaa tu mkuu msiogope
 
Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?

Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kijana wa leo . Fahamu kua bila uvumilivu ni aina flani ya ugonjwa wa akili.
Kawaida kwa wanandoa panapotokea changamoto ya kutopata mtoto ndani ya ndoa. Ni lazima mjipe moyo wa subra na uthubuti ili nyote wawili mkajitazamie kwa uhakika ili ugundue wapi panachangamoto. Utatuzi wa aina hii ni uhakika wa kupata matokeo.
Dawa ninazo ila utaratibu wake ndio mgumu.
 
Back
Top Bottom