Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Usikose walau ndizi mbivu moja katika mlo wako,utakuja kunishukuru!
Pia pendelea MATEMBELE kama mboga ya majani.
Pia pendelea MATEMBELE kama mboga ya majani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bi shostie na wewe upo kwa anga hzo?Chukua ute wake kwenye vidole viwili hlf tanua! Ukiona ute umevutika bila kukatika na wewe shahawa zako ni nzito
Vuteni subra hata after 1 year ndo mkapime hospital
Acha matusi jikite kwenye hoja mama tamu
Siku zake anaingia3 yrs now na hakika furaha tuliyoanza nayo taratibu inatoweka. Wife kila wakati anajifeel guilty....ni machozi,machozi machozi.....eeeh Mungu nipeeeeeee
Huyo mkeo mnahesabu siku za nini? Kuna watoto wachovu sana. Mkeo unapiga kila siku bleed ndo inawazuia tuu. Wakati kijana haiwezi kupita siku bila hata kimoja kama tupo wazima. Sasa unahesabu siku una matatizo.Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni muda gani sasa?Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mtagi lamomyDaah mkeo alikuwa anafaidi de libolo
Asante kwa ushauriMiez 6 n michache kuanza kupata uoga. Miaka 2 ikipita ndo wasiwasi wahitajika.
Ila nakushauri nendeni hospital mukapime wote wewe mbegu zako kama nyepesi au huna uwezo wakubebesha na mkeo km anauwezo au lah, vp anapata ute cku za hatari? Vip a aujua mzunguko wake vizuri na ajue mzunguko wake ni wa siku ngapi kama 21/25/28/30/35?
Akishajua hivyo mutashauriwa cku za kukutana au mutapewa dawa na milo ya kula kama lishe.
Pia nataka kujua upo mkoa gani?
Ukipima mukakuta kila kitu sawa kuna dawa za mitishamba ni mzizi umesagwa unakunywa wewe na mkeo asubuh na jion ndan ya mda wa wiki 1 kuelekea kwa cku za hatari.
Ni bure tu nitatoa kama msaada ila kama utani offa si mbaya[emoji4].
Fukuza kama yule wa meneja wa tanesko.Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe elimu mkuu, Njia gani ni salama za uzazi wa mpango kama hizo ulizotaja umesema waziepuke.? Hizo njiti si zinawekwa hospitalini?Inaumiza sana hii, vijana wenzangu tujitahidi sana kuishi maisha yetu ya asili.
Wanawake :- hii ni sumu mbaya sana kwenye masuala ya uzazi
. Vipandikizi
. Njiti
. Vitazi
Miezi sita michache sana Kuna factors nyingi sanaa..Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,Mke wako hashiki mimba au ww huwezi kumpa mimba?
Kwanini unafanya Kwa formula!!?Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hebu fafanua hapo kwenye magimbi yana husiana vipi na kupata mapacha ukila kwa wingiKama hakuna dakatari wa kuwasaidia, badilsihen diet yenu muwe mnakula majimbi sana. Hamtakawia kutengeneza mapacha
Pole kijana wa leo . Fahamu kua bila uvumilivu ni aina flani ya ugonjwa wa akili.Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa zama hizi ni ngumu sana kukutana na mwanamke wa mjini ambaye hajawai kutumia uzazi wa mpango ujanani