Inaweza kuwa ni mapema, lakini bado sio dalili njema.Miezi sita ni mapema sana
Lete hoja ya kulalamika hashiki mimba kama ndoa ikifika miaka miwili bila bila
Miezi sita bado ni mapema sana. Jipeni muda, fanyeni njia zilizo sahihi na mkiona mpaka miezi 8 bado hamuoni majibu ni vyema mkamuona Gynecologist ambapo atawafanyia vipimo nyote wawili na kuangalia tatizo lilipo kisha kuwapa tiba/ushauri wa kitaalamu.Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri MkuuMiezi sita bado ni mapema sana. Jipeni muda, fanyeni njia zilizo sahihi na mkiona mpaka miezi 8 bado hamuoni majibu ni vyema mkamuona Gynecologist ambapo atawafanyia vipimo nyote wawili na kuangalia tatizo lilipo kisha kuwapa tiba/ushauri wa kitaalamu.
Una uhakika mbegu zako zinarutubisha?Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona sasa!. . Masindano yenu yale, yameingia mwilini yameharibu mfumo mzimaa!!Muulize Mara ya mwisho kuchoma sindano ya uzazi ilikuwa ni lini ili ajue muda bado wa sindano kuisha mwilini.Atapata tu
Kuna baadhi ya wanawake wanatumia p2 kila mwezi mara moja.... Hi hatari sana sana....Ogopa sana mwanamke aliyetumoa njia za uzazi wa mpango ama p2,
Wewe una historia ya kumpa mimba mtu?Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mwanamke wako anashida, ila huwa zinatibika kama sio critical.
Asante kwq ushauriBasi mwanamke wako anashida, ila huwa zinatibika kama sio critical.
Mwanaume huweza kutia mimba kila siku.
Ila wanandoa au watulioko kwenye mahusiano ambao wanafanya mapenzi mara 1 kila wiki wanatakiwa watunge mimba kati ya 6 hadi 12 nje hapo, wamuone daktari.
Miez 6 n michache kuanza kupata uoga. Miaka 2 ikipita ndo wasiwasi wahitajika.Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
NaToka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na watoto wawil kwa mwanamke mwingine haikufanyi kuwa uko safi. Tatizo linatokea mda wowote na cku zinavyokwenda. Kumbuka kuna ugumba wa hatua ya pili. Yan unakuwa na watoto tayar ila utakavyoitaj zaidi na zaidi unashindwa kupatakutokana na mbegu kuwa nyepesi mno matatizo ya afya au ugumba wa ukubwani. Wanaume wengi wakishakuwa na watoto mwenzao akakosa mtoto wanazani wapo safi na kuwaza shida ni ya mwanamke. Kumbe shida inaweza kuwa ya kwenu wote au ya kwake. Vipimo ndo vitaongea na siyo dhana za kuwa na watoto tayar nje.
Ulishawahi kumtungisha mtu mimba kabla ya hapo?Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hakuna dakatari wa kuwasaidia, badilsihen diet yenu muwe mnakula majimbi sana. Hamtakawia kutengeneza mapachaToka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usizingatie we fanya bidii kila usiku.Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app