jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Inaumiza sana hii, vijana wenzangu tujitahidi sana kuishi maisha yetu ya asili.
Wanawake :- hii ni sumu mbaya sana kwenye masuala ya uzazi
. Vipandikizi
. Njiti
. Vitazi
Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,
Hii comment unaonyesha uitaji ukodishwe tuonee kama jamaa ndio mwenye Tatizo...
Just jokes π€£
Hakuna za uzazi wa mpango Ulio salama unaowekwa ndani ya mwili wa mwanamke.Nipe elimu mkuu, Njia gani ni salama za uzazi wa mpango kama hizo ulizotaja umesema waziepuke.? Hizo njiti si zinawekwa hospitalini?
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app