Mke wangu hashiki mimba, naomba msaada wa mawazo

Mke wangu hashiki mimba, naomba msaada wa mawazo

Inaumiza sana hii, vijana wenzangu tujitahidi sana kuishi maisha yetu ya asili.

Wanawake :- hii ni sumu mbaya sana kwenye masuala ya uzazi
. Vipandikizi
. Njiti
. Vitazi

Huwa wanakuja kugundua wameshachelewa,ujana maji ya moto
 
Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?

Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe umetizama hali yako kwamba mbegu zako zinaweza rutubisha yai?
 
Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?

Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app

mlipima kabla hamjaoana !!

Inatokea sana!! kwenye ndoa na haimaanishi kwamba lazima muwe na shida
 
Nipe elimu mkuu, Njia gani ni salama za uzazi wa mpango kama hizo ulizotaja umesema waziepuke.? Hizo njiti si zinawekwa hospitalini?

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Hakuna za uzazi wa mpango Ulio salama unaowekwa ndani ya mwili wa mwanamke.

Tumia njia Hizi :-
. Condom
. Calendar

Nilikuwa mpiga kampeni sana, ili wanawake watumie uzazi wa mpango , Lakin baadae nikagundua kuwa tunaua vizazi vya wanawake.
 
Back
Top Bottom