Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

mandawa kitambo sana Kilwa
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha......

Ganga yajayo yaliyopita si ndwele......
 
Akunyimae mbaazi?

Acha aende dingilai miamala, chanjo, ugumu wa maisha vituvuruge na wanawake tena watuvuruge.
 
Asante ndugu asante sana ishu ni tukiwa wote anatakaga sana sasa inakuwaje huko au anavumilia. Jmosi nataka kuktumia ndugu yake ampeleke sehemu kinguvu alafu nizuke
Mbona unatumia nguvu mzee baba, time yako imeshapita waachie wengine.
 
Kunywa maji mengi na korosho kidogo kidogo utasahau na kufungua ukurasa mwingine
 
Siwezi kuachana nae ana roho ya ajabu sana anasamehe sana mara nyingi ukikaa nae utashangaa
Hapa ndio mwanaume anaonekanaga boya kwa kujijaza ujinga, ukianza kuona hakuna mwingine kama huyo lazima ujinyonge, Omba msahama ila isiwe kwa kujivua nguo utasababisha matatizo ya kudumu [emoji2]
 
Duh!! Acha kumuomba msamaha endelea na mishe zako. Usionyeshe kama umeumia mbele yake. Jifanye kama hujari alichoamua
 
Asante ndugu asante sana ishu ni tukiwa wote anatakaga sana sasa inakuwaje huko au anavumilia. Jmosi nataka kuktumia ndugu yake ampeleke sehemu kinguvu alafu nizuke
Unaumia ukiwaza huenda kuna njemba inakamatia na mama watoto anataka sana kwa hiyo njemba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ila utazoea tu
 
Watoto wa manzese mnampa ushauri wa kimanzese manzese. Mguu wa shingo mguu wa roho
 
Ahaaaa! huyu ndo wa kutusimanga tuliooa single mothers kisa aliooa bikira. Kwa taarifa yako ukiona mwanamke anaondoka kwako na haondoki na kitu, ujue anapata huduma na mahitaji kwa mume mwenzio.

Mpeni pole joka jeusi. Kidume cha bikira.
Hahahaha!Joka yamemkuta,nlianza jua ni yy tangia anapost,na juzi kutokana na hasira kavunja mahusiano ya dogo mtu
 
Pole sanaa Seema hujaweka Sababu au kosa ulilomtendea tujue tukushauri vip.

I'll big up kwa msimamo wa hisia zako maana humu kunawazinguaji balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…