Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kwanini asinyanduliwe? We peke ako ndio unayo? Utakuta kapata mtu anamgegeda vema sanaaaa ndio maana hana habari na wewe.Braza kama huwezi kushauri kaa kimya. Anyanduliwe na nani,haiwezekani
Habari wakuu wa kaya..igweee
Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke hawezi kunipelekesha.
Habari wakuu wa kaya..igweee
Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke hawezi kunipelekesha.
Kwanza acha ujuaji, shida inaanzia hapoHabari wakuu wa kaya..igweee
Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke hawezi kunipelekesha.
Aiseehaiwezekani vipi ? kwani wewe ndiye mwenye mb oo peke yako ?
Aibu ipi bro, tuanzie hapo, in case huwezi kuisema hapa hebu njoo inbox, ntakuongoza vizuri mno na mtarudiana na mkeoNi aibu nilichofanya ila sihitaji mwanamke yeyote. Mke wangu nimeanza nae mbali sana tokea hatuna kitu. Siwezi kuruhusu tu mtu mpya kirahisi ana stahili kufurahia matunda ya nyumba sababu alikuwepo kipindi cha ku struggle
Mwanamke aishi na Mwanaume kwa miaka 7 harafu uandike hakuwa na mapenzi nae kuwa seriaus mkuu mtoa mada kwanza hakuandika nini kimetokea pamoja na kuja na Feki Id ni jinsi gani ametenda kosa mara nyingi kiasi nafsi inamsuta.Mwanamke uliye ishi nae kwa muda wa miaka saba hawezi kukuacha kirahisi hisi hata kama unemkosea vp,kama umetumia mbinu zote kumrudisha imeshindikana wewe jua tu hakua na mapenzi na wewe kabisa!
Usiseme hivyo. Hujui undani uliosababisha mwanamke kuondoka. Kuna mambo mengi siku hizi yanaweza mfanya mwanamke asirudishe moyo wake. Mfano ametishiwa kuuwawa, kamfumania na mwanaume mwenzie etcMwanamke uliye ishi nae kwa muda wa miaka saba hawezi kukuacha kirahisi hisi hata kama unemkosea vp,kama umetumia mbinu zote kumrudisha imeshindikana wewe jua tu hakua na mapenzi na wewe kabisa!
We unachekesha Mwanamke akiamua kuvumilia udhaifu wa Mwanaume anavumilia na akiamua kuacha hata utumie malaika harudi tukishapenda sehemu nyingine kurudi ni ngumu.Mtengenezee matatizo vibaka wapite na pochi na simu alafu kazini tafuta mtu amtie fitina la nguvu akikaa wiki mbili tuma vibaka nyumbani kwake aibee nguo na viatu vyote kama kuna hospital mnatumua ongea na doctor mtoto akiumwa hata na vimafua doctor amtishe mtoto ana mawazo yanayomsumbua anaweza pata tatizo kubwa mbeleni ahaa atarudii tu Mume ni kiongozi,mlinzi,mfadhili,mshaurii na muhudumiaji
Wanampa matumaini hewaUsiseme hivyo. Hujui undani uliosababisha mwanamke kuondoka. Kuna mambo mengi siku hiz yanaweza mfanya mwanamke asirudishe moyo wake. Mfano ametishiwa kuuwawa, kamfumania na mwanaume mwenzie etc
Kumbe ni wewe? Mkeo nimemla jana na amenisimulia kila kitu, hukuwahi kumkojoza miaka 7Braza kama huwezi kushauri kaa kimya. Anyanduliwe na nani,haiwezekani