Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

Screenshot_20210726_082331.jpg

Mkuu huko FB na Esta wa garama kumbe wewe ndio ulio vuluga hali ya hewa.. Legendary gani mlaini laini hivyo?
 
Kama hautasema kosa ulilomfanyia basi inaonekana bado haujajutia kosa ulilomfanyia hivyo basi kusema kosa kisaikolojia ni sehemu ya kuponya majeraha yako ya moyo. Nakushauri kaa kimya kwanza muache na yeye ajitafakari hata miezi sita usimbuguzi naami baada ya kipindi mtapona majeraha yenu atakubali kurudi nyumbani chochode kujutia kosa ni sehemu ya msamah

Lakini muda ukipita sana kuna uwezekano akaanzisha mahusiano mapya na yakajiweka mizizi kiasi kwamba kuja kuamua kurudi kwa jamaa itakuwa ngumu.
 
Vuta subira tu mzee.. Hata yeye huko aliko, ndani ya miezi mitatu atakuwa ameteseka na kutokuwepo kwako---Sema atajidai dai kukaza, we utampotezea kidogo----Then atajileta.

As long as una watoto, hakuna la kuogopa. Labda kama yeye ndo main provider wa ndani ya nyumba yako, ikiwa hivi i can not guarrantee cz psycholojia ya hawa dada zangu wanaijua wenyewe wakiyapatia maisha.
wewe hujui ke. Hili jamaa limesharogwa na kula zileeee dawa zao nakwambia kiroho papo usiombe kurogewa limbwata la damu.
Hata uwe america utarudi kwa magoti jinsi roho itakavo pwita..
Yaani badala ya kukaa ndegeni wewe utapiga magoti ndegeni mpaka ifike
 
Ukimuomba msamaha ndiyo unaharibu, huyo atakuwa Ana kazi na anaona anajiweza kuishi na wanawe,
wanawake wengi wenye kazi wakishazaa watoto wawili wanatamani kuwa single mother bila sababu za msingi.
Cha kufanya kuwa kimya na usimtafute hata kidogoo atajiona mjinga atarudi Ila ukizidi kumtafuta na kukuomba masamaha ndiyo kiburi kinamzidi.
allah!! Kumbe km humtaki ke dawa yake muombe msamaha fake!!

Ili kiburi kipande hapo hapo unamkomoa siyo????
 
Lakini muda ukipita sana kuna uwezekano akaanzisha mahusiano mapya na yakajiweka mizizi kiasi kwamba kuja kuamua kurudi kwa jamaa itakuwa ngumu.
Nikupe Siri moja ndogo sana mwanamke huwa haingii kwenye mahusiano kama mwanaume, mwanamke anasikiliza hisia zake za ndani ili aweze kumkubali na kumpenda mtu ivyo nenda taratibu ukimuachia nafasi ajitafakari jitahidi kumuanyesha umejuta na yeye kwako ni wa dhamani sana
 
Mtengenezee matatizo vibaka wapite na pochi na simu alafu kazini tafuta mtu amtie fitina la nguvu akikaa wiki mbili tuma vibaka nyumbani kwake aibee nguo na viatu vyote kama kuna hospital mnatumua ongea na doctor mtoto akiumwa hata na vimafua doctor amtishe mtoto ana mawazo yanayomsumbua anaweza pata tatizo kubwa mbeleni ahaa atarudii tu Mume ni kiongozi,mlinzi,mfadhili,mshaurii na muhudumiaji

Huo sasa uchawi.
 
Usifanye kosa la kuomba msamaha mapema mapema atakupiga kikumbo. Wewe mwache Kwanza, atulie hisia zake zikae sawa na akili yake , kama unaweza uwe Una msalimia Tu Kwa sms au kumtakia uck mwema

Umeshamaliza

Act gentleman wise

Atakupa attention sana
 
Back
Top Bottom