Na mna mipango ya mbali, eti hadi mtoto mkubwa akimaliza university
Familia ni sirikali kamili...lazima uwe na mipango ya mda mrefu/ya mbali.... na mipango ya mda mfupi Mkuu!!km huna iyo akili nakupa bureee chukua..
Unashindwa na dogo ana miaka mitano lkn anajiona ni Rais kesha panga baraza lake la mawaziri...
Yaani jebga tabia hii na jiulizege...
itakuwaje siku nikifa uzeeni au ujanani km leo nitalazwa wapi?
Shamba ninalo je watu wangu litawatosha pia??
Je limeendelezwa vya kutosha??
Uchagani/wakurya. wahaya hii ni sifa
kubwa sana ujue utashangaa videmu vyote vinaolewa kuwa na mipango mirefu km hii...! Ila nyie wamakonde mnaona uchuro!!kingine cha kujiuliza....
Je nina uhusiano mzuri na Mungu/ au watu wengine wanao kuzunguka.
Je nimesha ungama ....
Je mke/nyumba ndogo.. wangu ataishi vipi na watoto ulio zaa huko hata km ni vidumu kumi jenga ivo kwa idadi utakufa vizuri ...???
Nimeacha mpunga wa kuwatosha...
Nyumba wanazo hata za kupangisha??
Nani atarithi mke wangu endapo itatokea kufa leo...
Jiulizege hayo....hujawahi kuona mke anakuuliza ukifa leo utaniacha wapi/vipi... na watoto??
Kidume unajipinda unamjengea kwao uchagani....hapo sasa ukitimiza hayo utakufa huku unacheka..kwa adabu zote na heshima km wachaga na wakurya wao daima kuzika ni Mkoa.tena shambani huko....yanakofanyika matambiko
Si unaona Nyerere?? Kazikwa Mwitongo..Msuguri....nk