Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mke atashoboka tuHahaha aisee. Naomba jamaa apambane anunue kali kuzidi ya mkewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke atashoboka tuHahaha aisee. Naomba jamaa apambane anunue kali kuzidi ya mkewe
Heheheheh kweli, kuna wake ambao sio friendly kabisa😅 yani anakuwa mke as mke ila hana element ya ushikaji na wewe kabisa!Mkeo angekuwa rafiki yako asingefanya haya. Ni mkeo lakini sio rafiki yako!
Hahahahhaha kmmmk walai! Kakutengeneza kwa ufundi upi alio nao?Ndio tatizo la wanawake wa kuchuma wote, ulipoambiwa ujipange ndipo uoe uliona watu hawataki utiane kwa kujinafasi. Pambana na hali yako.
Kuna mwanamke mmoja aliwahi kuniambia kuwa mimi nimekutengeneza mpaka umekuwa hivyo ulivyo, nilimkata jicho hilo, akajikuta anaomba tu msamaha mwenyewe. Kwasababu yeye kaja na begi lake tu, kila kitu changu.
Lingekuwa la mumewe angelitumia freely na kuligonga pia kisha anapiga simu tu beby nimegonga pikipiki huku njoo unisaidie😅😅😅Sisi ni watu wa ajabu sana. Hapo gari lingekua la mwanamke angelichukua bila hata kuomba. Na angepewa bila gubu. Shida sisi ni wabinafsi sana.
Sent From Galaxy S9
Noma sanaHeheheheh kweli, kuna wake ambao sio friendly kabisa😅 yani anakuwa mke as mke ila hana element ya ushikaji na wewe kabisa!
Hahahahhahahhah unanuna unaenda kutengeneza na maisha yanaendeleaLingekuwa la mumewe angelitumia freely na kuligonga pia kisha anapiga simu tu beby nimegonga pikipiki huku njoo unisaidie😅😅😅
"Noma sana"[emoji23][emoji23][emoji23]JF is the only reliable solution of our puzzle, thanks Maxence Melo be blessed Brother of ours!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena hapa ndio pazuri maana identity ni anonymous hamna trace zitabaki wala kusambaa kwa story mtaani kama ambavyo ungeamua kumsimulia kinyozi wako au dada pale grocery unapokunywa!Sasa ww unataka hizo kero zake azitolee mbinguni?? Eti social media kwani watu walioko huku kwwnye social media ndio hao hao waliopo huko mtaani ambapo angewafuata huko mtaani.
Acha kuwa na mawazo kama ya mtu aliyezaliwa kipindi cha Nyerere.
Eeeh wana tabu sana hawa doh!Hahahahhahahhah unanuna unaenda kutengeneza na maisha yanaendelea
Wanawake wa hivo ndo wanafanya mabachela wazidi kuwepo
Comments za kiume zinatiriirika kwa kasi kubwa...Kuna kitu nyuma ya pazia. Hilo gari amenunuliwa na mwanaume mwingine na amepoteza mapenzi kwako. Time will tell
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wa namna hio ni kujipanga mapema tu kununua shamba mahali huko na kuanza ujenzi mpya kimya kimya😎 tuwe makini sana na wanawake wetu hawa! Mko family ila gari ni lake hataki uguse kumaniner sio kwa mpare mimi.Mimi nisingegusa hiyo gari. Halafu ndani mkishaanza hiki kanunua mke ni chake basi ndoa si imara tena.
AshaelewaComments za kiume zinatiriirika kwa kasi kubwa...
Haina haja ya kuendelea kuzihesabu tena.
Mwanaume mwenzetu, bila shaka atakuwa ameshaelewa somo!
Very true wazazi ndo wanaharibu mahusiano ya mabinti zao...hataki mkwe masikini means haangalii upendo daah[emoji848]Lakini hili ni tatizo la jamii nzima hasa Tanzania wanawake hawana maamuzi kwenye mapenzi ndio maana hawawezi kutongoza mwanaume anayemtaka pia wanawake wanafundishwa kumpenda mtu mwenye kitu ndio maana sio ajabu kusikia mama anamkataza binti yake kuwa na mtu kwa sababu hana kitu "atakupa nini yule" kwaiyo hii madhara yake ni makubwa kwenye maisha ya ndoa kama anayokutana nayo mleta uzi
Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
Kwa teknolojia ilipofikia sasa,forums kama JF zimekuwa msaada kwa watu wengi sana,ni njia rahisi ya kuweza kuwasiliana na watu wengi zaidi kuliko hata jinsi ambavyo unge share na ndugu.Hatukatai kuwa kuna ushauri mwingine wa kupotosha,lakini kama lengo ni kupata ufumbuzi huwezi kutoka bila ya kupata msaada wenye kujenga.Ikumbukwe hakuna anayemjua mwenzake ndio maana tunatumia hiden IDs ili mambo yaweze kuwa rahisi zaidi...Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
Usicheke mambo ndivyo yalivyo[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ha ha ha huyo ni psychopathAisee umenifurahisha sana kumbe tuko wengi kwenye hii kadhia 😂😂😂😂😂😂
Mimi mke wangu nimemfundisha gari mwenyewe alikua hajui a wala be mpaka amekua dereva na leseni nikamtafutia. Ni zaidi ya miaka mi 5 sasa tangu aanze kuendesha gari. Katika kipindi chote hicho, yeye ameshagonga gari, kukwangua, kupasua taa, vioo, kugonga miti, mageti, nk mara zisizohesabika. Mimi sijawahi kugonga hata inzi!
Cha ajabu sasa nikiwa naendesha mimi utasikia "eh, punguza mwendo bana unakimbia sana" (hapo niko speed 30), "ongeza mwendo, we huoni hilo semetrela nyuma..? Au paki kwanza lipite!", "hii kona umekatia mbali sana", "unaona hiyo gari mbele, unaona..?", "washa indiketa tunaingia pale...", "mpigie honi huyo bodaboda utamvaa", "washa full bana mimi sioni mbele..", "mbona umeovatekia karibu hivyo?"... yaani mi hua saa nyingine naishia kucheka tuu..🤣🤣🤣🤣