Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kumekucha haswaa nimecheka sana yani daaaah!!!😂😂😂[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Kumekucha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekucha haswaa nimecheka sana yani daaaah!!!😂😂😂[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Kumekucha!
Umewasha indiketa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ng'ombe hazeeki mainiHa ha ha we mdingi bana
[emoji16][emoji16][emoji1787]Kumekucha haswaa nimecheka sana yani daaaah!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha, indiketa tu inaweza kuwa mzozo😅😅😅 mara mbona umemsogelea sana huyo wa mbele 😂😂😂 unajiuliza sasa gari naendesha mimi ila kwa maelekezo ya navigator kweli? 😅 mara kaa kati katiUmewasha indiketa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hapa nacheka balaaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]Ha ha ha ha, indiketa tu inaweza kuwa mzozo[emoji28][emoji28][emoji28] mara mbona umemsogelea sana huyo wa mbele [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahaaahaaaahaaa [emoji1787]Tegemea kuombwa talaka muda wowote hapo huna mke kashakua matawi ya juu. Wanawake wengi akishajiona anaongoza kipato kikubwa anatamani awe huru Kama hauamini chunguza marafiki alionao sasa angalia Wana tabia gani
Ngumu sana hiiMkeo ni mbinafsi. Si ajabu hata unyumba utakuwa unapewa kwa mashariti. Nakushauri mwachie gari yake, wala usiiguse hata siku akitaka uiendeshe usiendeshe. hata kama mtakuwa na safari ya pamoja usipande gari yake.
Nimeolewa.... Nadekezwa, Natunzwa, Napendwa.... Basi Raha tuu🙊🙈😄😍Wivu sina ila roho inauma.
Kumbe ulishaolewa? Domo zege limenikosesha mke mwema....
Bora yako wewe, wengine siku mume atayoomba gari atahakikisha kamletea taa ya tank imewaka 😂😂😂 ili tu asitumie mafuta aliyoweka yeyePole Sana Kaka. Pole Sana kwa mkeo kuwa KERO. Wanawake wenzangu tubadilike jamani. Mume wangu siku anataka kutumia gari.... Namuomba mapema kabisa anipeleke usafiri wa bajaji unapopatikana..... naendelea na ratiba zangu kama kawaida. Nikimaliza narudi nyumbani.... Raha mustarehe... Mapenzi Mubashara😂😅.
Mapenzi yana Raha Sana Wanawake wenzangu ... Haya Mambo madogo madogo haya tujifunze kuya-ignore. Tujifunze kujishusha kwenye baadhi ya mambo ambayo tunaweza kufanya na hayasumbui sana.... Kwani utapungukiwa nini? .... Pia Tunapunguza mikwaruzano inayoweza kuepukika. Gari zipo tuu. Cha muhimu Penzi na Raha ya MUME.
[emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu we mwongo yaani biashara utoe 100% mtaji Then Gari linakuwa lake?? We nae ni Mbulula.
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mbaya ni mke wake sio sisi watoa hoja na ushauri. Wewe unaona alichofanya mke wake ni sawa?? Wanawake mkipata pesa sijui mnakuwaje . Na ndio maana wengi wenu Mungu hajawajalia.
Naomba ushauri kipenzi. Nimfanyeje huyu dogi nimemfumania anakula papai kama nyani...[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Kumekucha!
Na wewe unamfanyia mini?Nimeolewa.... Nadekezwa, Natunzwa, Napendwa.... Basi Raha tuu🙊🙈😄😍
Ni ngumu sana ukiwa fundi marejeta kutoboa ukiwa na mpenzi slay queen from BOT🤣!Wanaume huwa tuna vichwa vigumu kung'amua mambo ila huwa sijui hata kwa nini!
Hiyo ya kutokumpenda inawezekana kwa sababu mwanamke akitaka kuolewa wanakitu wanasema kujifunza kupenda (developing love)Sasa mapenzi ya namna hii wakati mwingine hayana uhalisia kwa iyo akishapata nguvu ndio anagundua hana mapenzi na huyo mtuAhaaahaaaahaaa [emoji1787]
But sio tabia nzuri hata kidogo....mwanaume ni wa kuheshimiwa no matter what labda kama humpendi ndo unaona zigo
DuuuhKama hujui jua sasa. Mali ya mwanaume ikiwemo mshahara, ng'ombe, gari, nyumba n.k. ni mali ya family . Lakini mali ya mke vikiwemo hivyo vyote ni vyake. Na kuvitumia huleta shida nyumbani. Kikubwa jitahidi ununue gari yako nyingine tena kimya kimya. Utaona yeye mwenyewe akijipendekeza tena wala hayo masimango hutayaona tena.
Odhis *
Thats true my brother, usipokula ndumu unakuwaga real kichiziKuna mengi huyajui! Siyo kwamba ukiendesha anaogopa kuwa utamsababishia ajali bali anaona aibu kuwa na wewe kwenye gari ndiyo maana anakaa nyuma. Kwa kifupi anaona wewe siyo type yake kwa sasa. Mengi huyajui ila ngoja niishie hapo!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] aseeeMara kibao humu uwa nasema."MALI YA MWANAMKE SIO YAKO".
hao wameumbwa kwa ajili ya kukuzalia watoto na kukulelea mambo mengine hawanaaa.
Ndivyo walivyoumbwa.
Na usidhani kama hakupendi bali ndo hulka yao.
Cha msingi endelea na piki piki yako.
Ipo siku utakuja kununua GARI LA KWENU.
Sio gari lako ni LA KWENU KAMA UTANUNUA.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Ndivyo ilivyo mkuu.Duuuh
Kweli wanawake selfish asee[emoji848]