Mke wangu hataki nimshike kalio tuki-sex

Mke wangu hataki nimshike kalio tuki-sex

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Duuh hii kali, em kaa nae vizuri na umwelimishe kuhusu hilo swala kua hufurahishwi nalo, asipokuelewa basi ongea na mama mchungaji wa kanisa analosali... Huyo hakupitia zile kitchen party au unyago nini..
Inaonyesha kitchen party yake alikua anafundishwa kuimba mapambio tu.
 
Ameitoa like yake mmemsema

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
1639299219090.png
 
Hivi hii imekaaje? Mke wangu in mlokoke, ananibania mno wakati wa show, anasema kushikwa kalio ni uhuni, yaani hata kupiga tule tukofi hataki.

Sifuraii kabisa, yaani tunasex kama mazee ya miaka 80 huko
Ni "mlokole" mfundishe kuwa chumbani hakuna ulokole. Kule kazi ni moja tu, kumpa mwenzio kwa style zote.
Sasa kama yeye anajidai kubana asije shangaa unapata nje.
 
Kilicho nifurahisha hapa kwenye hii comment yako sio content, ni namna moderator alivyo like hii comment kumbe behind bars nao ni wadau

They are human beings just like me and you...☺️

Sense of humour is for everyone, unless one is sick.
 
Labda mkeo kapigwa pasi aka flat skrini anaogopa yasikuumize mikono
 
Back
Top Bottom