Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Mwambie awe anafua jumatano & jumamosi. Mbona tenga litabaki jeupe pee...
Ni mvivu kufua nguo, tenga la nguo chafu linaweza kujaa na zaidi lakin nguo hazifuliwi mpaka umkumbushe. Na ukimkumbusha atafua lakin utakuta nusu zimebaki.