Ni mvivu kufua nguo, tenga la nguo chafu linaweza kujaa na zaidi lakin nguo hazifuliwi mpaka umkumbushe. Na ukimkumbusha atafua lakin utakuta nusu zimebaki.
Mwingine unampa mtaji hata wa laki5 lakini baada ya mda huoni anachokifanya yaani kapoteza zote na anakukopa umsaidie tena angalau laki8 sababu laki5 ya mwanzo ilikuwa ndogo,baada ya muda tena utaambiwa walau nikiwa na ml1 naweza fanya kitu cha maana,nasema wengi wa hao viumbe ni shida full stress hawajui wanataka nini kwenye haya maishaanakula bata sana, ataishi maisha marefu kuliko wewe, utakufa utamwacha, mwenzio anapumzisha akili na mwili havichoki wala kuzeeka na wewe unajichakaza. pole.
kosa kubwa ulilolifanya ni kumfanya awe mama wa nyumbani, tafuta hata mradi wowote asimamie, hajazaliwa kwa ajili ya ngono na kuzaa watoto kama ng'ombe, anatakiwa kufanya kazi ili hata leo ukidondoka asikimbilie kutafuta wanaume wengine wa kumlea kwa pupa, atakuja kupata limtu litaharibu hadi watoto wako, umeshindwa hata kumfungulia genge? mradi wowote hata wa kufuga kuku? mimi mke wangu ukimwambia awe mama wa nyumbani nahisi ndio utakuwa mwisho wa ndoa, manake anajishughulisha na huwa anapenda aweke kitu mezani. funguka.
Nilitaka nimuulize swala km hili kwamba walikutana vipi? Na haya hakuyajua kabla km mchumba wake anamadhaifu hayoWakati wa uchumba wenu hayo hukuyaona mkuu.!?
Si wote. wapo wanao enjoy sana tu. na mifano hai ipo. so usidhani ndoa zote ni jehanam..Walio kwenye ndoa ....wanaona moto hadi wanataka kukimbia
But
Ma single boy tunatamani kuingia ndoani....
tunaona walio kwny ndoa wanafaid
Ngoja waje wakuu wa vitengo
Hawezi kufanya hivyo. Seems huyu kalelewa kwenye zile familia ambazo mke ni kama punda wa kukufanyia kila kituMkuu hebu orodhesha na mazuri aliyo nayo ili tubalance equation..
Yes, umenena vyema aiseee.si wote.. wapo wanao enjoy sana tu. na mifano hai ipo. so usidhani ndoa zote ni jehanam..
Sikuyaona mkuu. Alikuwa poa tu, au pengine mimi ndo nilikuwa kipofu.Wakati wa uchumba wenu hayo hukuyaona mkuu.!?
Mkuu mbona kuna masikini wengi tu ndoa zao ziko vizuri, wanaishi na kushirikiana kutafuta rizikiMkuu inaonekana wewe ni masikini. Tafuta hela heahima itarudi
Mkeo anaweza kuwa na mtindio wa ubongo. Chunguza historia yake. Jaribu kumtisha kuwa utaoa mwingine akiendelea hivo uone reaction yakeHeshima kwenu ndugu zangu.
Mimi ninafanya shughuli zangu karibu sana na tunaposhi, lakin nikimwambia apike mchana aniletee chakula inakuwa adhabu kubwa sana kwake. Kwahiyo mara nyingi naamua kula kwa mama ntilie tu.
SOMETHING IS WRONGUsipomkumbusha mwenyewe mnaweza kukaa hata wiki mbili na wakati mwingine nikihitaji anagoma mpaka nitumie ushawishi wa hali ya juu au nguvu.
Mama wa nyumbani anakuwa na mfanyakazi tena!! Sikatai lkn uwe umepiga hatua fulani katika maisha. Huyu mwanamke kwa haraka ni Mkeo ni katika wanawake na wavivu! Huyo ni wako jitahidi kumvumilia na kuendelea kumkumbusha na kumuonesha kuwa tabia zinakukera.Poleee..
Labda jaribu kua na dada wa kazi pia.
Kama hakua hivyo tokea mwanzoni,bas amejichokea tuu, kukaa tuu nyumbani kunachosha sana,unakua sort of depressed ivii.kila kitu unaona sawa tuu.
Inshort life la kua ndani tuu ya nyumba is like living with no purpose.
Pole,my 2 cents japo mie sio mwanaume mwenye ndoa.