Mke wangu hatimizi majukumu yake ya nyumbani ipasavyo

Mke wangu hatimizi majukumu yake ya nyumbani ipasavyo

Pole mdau, ila hata tukikushauri hapa ni post facto, maana ameshakua mke. Haya ulitakiwa utuulize kabla hujamuoa. Pole ila nna imani kuna wadau watakuja na mchango chanya.

Ilinichukua muda sana kupata mke kwa kua nlikua naangalia sana haya mambo mpaka wengine waliniita Mr Perfect, mimi naboreka sana hata kuwa na conversation na mtu asiejiongeza(Kilaza).
 
Mnunulie mashine ya kufua, ni elfu 95 tu.
Hiyo machine itakuwa inafua Sox tu mkuu.95 labda ya Kenya.

Afu huku kanisani kwetu mchungaji anatulazimisha kuoa.
 
Back
Top Bottom