Ana watoto wawili na lazima ni wadogo wanaohitaji usaidizi 100%. Hapo wakati mume anamka anaoga na kwenda kazini mke anaanza na
.asafishe nyumba
.kuweka watoto kwenye pot wajisaidie
.anawaogesha
.awapikie
.aanze kuwalisha, wakiwa wasumbufu kama wangu inaweza chukua 2hrs
.kabla hawajamaliza kula watapike, aanze tena kuwalisha.... hiyo ni saa nane mchana
.ajitaftie yeye chakula
.aoshe vyomo
.asafishe nyumba tena maana washatapika, washajisaidia, washamwaga vitu
.kama maji hayapo ndani akachote yanakopatikana
.aende gengeni kununua mahitaji
.arudi akute wamejisaidia aanze kuwasafisha
................
...............n.k
Jioni anakua kajichokea hata hamu hana
yello masai
Hivi vitu vinaonekanaga vidogo ila vinachosha na vyote vinatakiwa kufanyika kwa ukamilifu 100%