missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,361
Yes kuna uchafu kupitiliza wengine hulka yao..solution amwekee msaidizi tu. Mambo mengine madogo ukiona mtu habadiliki unakubali ndo mapungufu yake.Naelewa sana maana mm ni mama pia wa watoto wawili, lkn hii haiwi sababu ya ndani kua ovyo kupita kiasi. Imagine mume anasema hadi vumbi kwenye meza limejaa , huu sio uchafu wa siku moja. Kuna wakat watoto wanavuruga ndani haswa lkn mtu akiingia anaona kabisa hii nyumba hua inafanywa usafi ila vitu kukaa huku na kule ni vurugu za watoto. Kuna sehem ukienda ukikaribishwa ukae kweny kochi unatamani ueke kitambaa ndo ukae. Meza ukiandika jina linatokea vyema