Nyoka mwenye makengezaa
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 787
- 1,054
Mkuu mbona kuna masikini wengi tu ndoa zao ziko vizuri, wanaishi na kushirikiana kutafuta riziki
Ni kweli, lakini hawalii lii jeiefu. Tafuta pesa, ata mtoto wa kajala unatoboa mchana kweupe