Mogan Mogan
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 203
- 144
[emoji1787][emoji1787]Mwambie aache tabia ya kurudi usiku.Akikabwa na vibaka je?Awe anarudi asubuhi.
Sent from my itel A16 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Mwambie aache tabia ya kurudi usiku.Akikabwa na vibaka je?Awe anarudi asubuhi.
Umeongea kweli Mkuu vibaka wanaweza kumfanya matusi au wakamjeruhi vibaya sasa atalala kwa nani nayeye hana ndugu hapa mjiniHukohuko anapoenda.Mkanye kabisa.Asirudi usiku kwani anaweza kupata madhara.Asubuhi ni vizuri zaidi.
Upo sahihi.Makombo huliwa na mbwa-koko tu.Umeongea kweli Mkuu vibaka wanaweza kumfanya matusi au wakamjeruhi vibaya sasa atalala kwa nani nayeye hana ndugu hapa mjini
Kwa hiyo Mkuu mnataka kunipotoshaKiumbe kama huyo utamshauri kipi sasa?Maana ni upotezaji wa rasilimali-akili tu.Akileta utani,unamfanyia dhihaka.
[emoji23][emoji23][emoji23]hakikaMwambie aache tabia ya kurudi usiku.Akikabwa na vibaka je?Awe anarudi asubuhi.
Mnataka afanywe matusiYaani tena aongee nae kwa utararibu kabisa akisisitiza ni jinsi gani anampenda na hataki lolote baya limfike; zaidi yeye na watoto wanamtegemea yeye. Ikibidi arudi saa mbili asbh wakati jua limeshatoka maana saa ingine saa 12 asbh inakua bado giza..
[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Umekaa na kutafakari ukaona kuna upotoshaji mkuu?Hivi weye unaweza kutembea usiku,kuna giza na hatari nyingi za wanyama,wadudu na hata wahalifu kisa tu unawahi kulala?Kwa nini usiombe hifadhi huko ulipokuwa?Akili yako,maisha yako!Kwa hiyo Mkuu mnataka kunipotosha
Unamaanisha nini?Upo sahihi.Makombo huliwa na mbwa-koko tu.
Kama mpaka leo hajafanywa bado basi itakapotokea watafanyana, hatafanywa!Mnataka afanywe matusi
Haitakuwa mara ya kwanza.Tatizo anaweza kudhurika na wanyama wakali,wadudu au watu wasiopenda maendeleo yenu yadumu.Zingatia mkuu.Mnataka afanywe matusi
Sasa huo utani mkuu mke wangu hawezi kua meDah...huyo mke wako ni ME au KE?..tuanzie hapo [emoji2960]
Mjibu kwa utii usiozingatia shuruti.Anaweza akawa msaada mkubwa kwa familia yako.Sasa huo utani mkuu mke wangu hawezi kua me
Hapo kidogo nimekuelewa mkuuMjibu kwa utii usiozingatia shuruti.Anaweza akawa msaada mkubwa kwa familia yako.
Naomba ushauri namna ya kunitoa jela ya misuriHii chaii Kabisa