Mke wangu huwa anarudi usiku sana, nifanyaje?

Mke wangu huwa anarudi usiku sana, nifanyaje?

Akitoka ananiacha na watoto na mfanyakazi wa ndani, Naakirudi nashindwa kumkemea, sana sana naishiakumpa pole na pilika. Hauwezi kunishauri kitu nikakuelewa namuelewa sana.

Juzi wakati natoa mpira wa mtoto uvunguni mwa kitanda nikakuta kichwa cha bata kimefunga mdomo na kufuli sijui nini na nilipomuuliza akanambia hizo kacha tu za kimasai je nikweli au ndio nimefungwa mdomo eti wakongwe misumari hii ni kitu gani

View attachment 2080915

View attachment 2080920
Idiot
 
Umefanya makosa kumuonesha vitu ulivyoona uvunguni,ungekaa kimya alafu ukashughulika navyo kimya kimya
 
Back
Top Bottom