King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Mahitaji muhimu.
Demu malaya anapigwa miti kisa kazi na hata huyo jamaa jirani kishapiga hapo akamdanganya atamtafutia kazi
Yawezekana,,, maana hata tendo la ndoa,,, nilikuwa napewa kwa kulazimisha,,,,wakati mwingine anahama kitandani analala chini....ili nisimuombe tendoDemu malaya anapigwa miti kisa kazi na hata huyo jamaa jirani kishapiga hapo akamdanganya atamtafutia kazi
Avumilie kidogo miaka mitano?Nilimuambia avumilie kidogo,,,nitamfungulia BIASHARA,,,,ila yeye ana tamaa ya haraka,,, afu kibaya Zaidi...anayemtafutia kazi Mme wa mtu,,,NYUMBA ya Jirani wakati MKE wake hajui chochote
Simu kaiacha hajaondoka nayo... kwahiyo kumtafuta ni ngumu,,Mama anaacha mwanae mwenye umri wa miaka 2 na miezi 8? Hii ndio dalili kubwa ya kujua kua huyo ni Mwanamke wa aina gani,
Je ulikua unamtimizia mahitaji yake yote ambayo ni muhimu? Aliwahi kukulalamikia kua kuna mahitaji fulani anataka na ukashindwa kumtimizia? Kilichomsukuma yeye kutafuta kazi ni kipi hasa?
Wasiliana na wazazi wake uwataarifu kisha piga kimya,akili yako iwe kwenye malezi ya mwanao,huyo atarudi mwenyewe,akirudi uamuzi ni wako kama utataka uishi nae au la,
Usionyeshe udhaifu wa kumpigia simu au kumtafuta,fanya kama vile hakijatokea kitu,
Stay strong Mkuu.
Mimi tatizo sio kuamua yeye kujitafutia kazi.....tatizo ni kwanini hanishirikishi,ananificha nisijue kuwa anafuta kazi?. .anakuwa mipango binafsi bila mimi kuwa na taarifa yoyote kama mume wake?,,, Inamaana yumo kwenye ndoa kama kutegeshea ishu zake binafsiAvumilie kidogo miaka mitano?
Wewe ni jamii ya wapi na una elimu gani.
Mbona sijaona dalili yoyote ya mkeo kufanya kosa, kaomba kutafutiwa kazi na jirani wala sio mtu wa mbali. Sijaona kwamba amefanya kitu kibaya wala kukusaliti kwenye kutafuta kazi. Kama hutaki aajiriwe mbona miaka mitano yote unamfanya beki tatu tu ndani wewe mwenyewe huna hela ndio maana unatafuta mtaji miaka mitano yote.
Inaonekana kabisa wewe peke yako huwezi kutosheleza mahitaji ya familia mpaka yeye afanye kuingiza kipato. Kwanini unaiga lifestyle ya wanaume wenzako wenye uwezo kiuchumi.
Babu yangu miaka ya 1970s mwanzoni alimpeleka bibi kwenye mafunzo maalum akapate kazi, tena muda huo akiwa mjamzito. Wewe 2026 unaachana na mke kisa anatafuta kazi na mtaji wa kumpa huna. Nenda kaoe kula kulala huyo mke ulikosea hapo ungeishi kwa wasiwasi naye.
Tatizo lake wala sio uchumi. Tatizo la mleta mada ni la kiakili zaidi, mentality.Sijasoma mpaka mwisho ila tatizo ni uchumi hapo.
Haupo stable financial,pole sana
"Vita ya uchumi ni mbaya" JPM
Hapa tunasikiliza upande mmoja na utajitetea.Mimi tatizo sio kuamua yeye kujitafutia kazi.....tatizo ni kwanini hanishirikishi,ananificha nisijue kuwa anafuta kazi?. .anakuwa mipango binafsi bila mimi kuwa na taarifa yoyote kama mume wake?,,, Inamaana yumo kwenye ndoa kama kutegeshea ishu zake binafsi
Ndio mana umekimbiwa, una maswali ya kipuuzi sana.Sasa tuna mtoto Tiyari...itakuwaje
Mwenzako kamuona mke wake mtarajiwa kwenye video za ghetto la mrusi anataka arudishiwe mahali.Nina wazo la kuoa hivi karibuni wewe Tena unayaleta haya
Anyway pole sana
Mengi ni mamboNina wazo la kuoa hivi karibuni wewe Tena unayaleta haya
Anyway pole sana