Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi

Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi

Hi
MREJESHO...
Kwa ndugu wote hayupo walaA kwa wazazi...
Bado anaendelea kutafutwa..
Nishatoa ripoti Kwenye Serikali za MTAA na Polisi... kwasababu amepotelea sehemu isiyojulikana....hata kwa ndugu yoyote hajafika mpaka sasa ni siku ya pili.
 
Wakati anajianda kuondoka...Alitenganisha KADI YA KLINIKI YA MTOTO akiacha,,,halafu akataka kuichukua KADI YAKE YA KLINIKI YA UJAUZITO kuondoka nayo..,,mimi nilishutuka nikamyang'anya hiyo kadi,,,,sikujua lengo lake ni lipi...
 
Pole sana.
Asante ndugu yangu...inaumiza sana kama mwanau
Akikushirikisha huwa unamsikiliza? Unajaribu kumuelewa au unataka maamuzi yote yawe jinsi wewe unavyotaka? Bila shaka anajua ni kupoteza muda kukushirikisha. Na tayari anajua kuwa hauna ushauri wa maana kama ilivyo katika hili la kutafuta kazi. Ungemsaidia kutafuta kazi, yote haya yasingetokea. Badala ya kujirekebisha unataka kumharibia mtu ambae alikuwa anamsaidia.

Amandla...

Sawa naweza kukubali labda tatizo la kwangu...JE Hilo limemfanya apotelee kusikojulikana hata kwa wazazi na ndugu hajafika siku ya pili mpaka sasa kisa kazi?...

JE.kama ni kweli ni Kazi...alishindwa kwenda kulisema kwa wazazi wakatuweka chini kuyaongea
 
MREJESHO...
Kwa ndugu wote hayupo walaA kwa wazazi...
Bado anaendelea kutafutwa..
Nishatoa ripoti Kwenye Serikali za MTAA na Polisi... kwasababu amepotelea sehemu isiyojulikana....hata kwa ndugu yoyote hajafika mpaka sasa ni siku ya pili.
Kapangishiwa chumba huyo
 
Asante ndugu yangu...inaumiza sana kama mwanau

Sawa naweza kukubali labda tatizo la kwangu...JE Hilo limemfanya apotelee kusikojulikana hata kwa wazazi na ndugu hajafika siku ya pili mpaka sasa kisa kazi?...
Siku mbili mbona chache? Amekukatia sio kwa sababu ya kazi bali amekuchoka. Kuna uwezekano mkubwa kuwa ameamua kuondoka kwako na hataki ashauriwe vinginevyo. Kama unampenda kwa dhati, mpe muda hasira zake zipoe halafu mtafute, muombe msamaha na mhakikishie kuwa utabadilika. Na ujue kuwa hata ukifanya hivi hamna uhakika kuwa atarudi kwako.
JE.kama ni kweli ni Kazi...alishindwa kwenda kulisema kwa wazazi wakatuweka chini kuyaongea
Kazi ni sehemu tu ya mambo yaliyomfanya aamue kuondoka kwako. Hajaenda kwa wazazi wake kwa sababu anajua watajaribu kumshawishi arudi kwako. Unatakiwa kwanza ukubali kuwa umemkosea kwenye hili na bila shaka mengi mengine. Ndio ubaya wa kutothamini ulicho nacho mpaka umekipoteza. Na inawezekana kabisa kuwa kuna mtu amemuonyesha thamani yake kuliko wewe. Ikiwa hivyo, itakuwa vigumu kurudi kwako. Itabidi ukubali kuwa ndio mafunzo ya dunia. Muhimu ni kuhakikisha kuwa mtoto wenu anapata malezi anayo stahili na ukimpata mwanamke mwingine mpe heshima zake na usitake kumburuza.

Kuna taarifa nimeipata kwa Jirani mwingine ambaye anafahamu MKE wangu,,,,,ameniambia anafanya kazi ya kuwaagizia mizigo watu mbalimbali,,kwamba wiki moja kabla ya tukio,,,Huyu MKE alimfuata huyo JAMAA kwamba amtafutie machine ya kutengeneza PopCon,,,

Sasa siku kabla ya kupotea,,, asubuhi wakati anaenda sokoni kuemea mazaga,,,alimpigia Simu JAMAA hiyo machine ampelekee hapo sokoni aione,,,JAMAA kweli alimfikishia ila Kwa bahati mbaya Bei ilikuwa kubwa Hvyo hakununua...kwahiyo JAMAA mzigo alirudi nao...
,....................................................................

Baada ya hapo mwanamke alirudi NYUMBANI mida ya jioni ikatokea mtafuruku kidogo kama nilivyoelezea AMBAPO aliondoka kusikojulikana... Mpaka sasa ni siku ya Pili
 
Sasa kama anajua Wazazi watajaribu kumshawishi arudi kwangu...

Inamaana huko alipo atajificha milele, wazazi hawatojua mazima?????
 
Bado hauaelewa tatizo. Wewe unakazania kumlaumu mke wako wakati tatizo liko kwako. Huyu ni mwanamke anaejitambua na anatafuta namna ya kuacha kukutegemea. Ungekuwa unajitambua ungemnunulia hiyo mashine badala ya kubakia kulalama humu.

Mke wako anatafuta nafasi na muda wa kujipanga. Wakati muafaka ukifika atawasiliana na wazazi wake hata na wewe. Kwa sasa hivi anaona huo muda haujafika. Tumia muda huo kujirekebisha ili kama atarudi kwako asiondoke tena.

Amandla...
 
Bado hauaelewa tatizo. Wewe unakazania kumlaumu mke wako wakati tatizo liko kwako. Huyu ni mwanamke anaejitambua na anatafuta namna ya kuacha kukutegemea. Ungekuwa unajitambua ungemnunulia hiyo mashine badala ya kubakia kulalama humu.

Amandla...
Shida ni kwamba sikuwa na taarifa yoyote,,,pili nishawai kumuambia aniambie ni kazi anataka anipe mapendekezo ya kazi hata 3,,,ili tuone ya kuanzia...Alisema genge nikamuambia sawa...ngojaa niendelee kulifanyia...huku nikisubiria mapendekezo mengine....

NB:Ni kweli nilikuwa nakaribia kumpa Mtaji wa kuanzia,,,nilikuwa surprise ghafla likaibuka tatizo la namba Ile niliyotaka nijue undani....akawa amefanya maamuzi ya KUKIIMBIA...

Ila ukweli nilikuwa nataka nimfanyie surprise ila kwa bahati mbaya pupa yake imemponza
 
Bado haujaona tatizo. Una mtreat mke wako kama mwanafunzi au mtoto wako. Badala ya kukaa nae kujadiliana PAMOJA kitu cha kufanya, unampa homework ambayo utaipitia na kumpa maksi. Kwa nini na wewe usifanye utafiti wa biashara YENU?

Hata hilo suala la namba umelikuza bila sababu maana ulianzia kutoka position ya kumuona kama mkosaji.

Unasema kuwa imemponza kwa sababu utamnyima hiyo surprise. Kwa jinsi unavyoongea, ni heri ameikosa hiyo surprise maana ungeitumia kumsimanga na kumuingilia katika maumizi yake. Hivi anavyotafuta mwenyewe ni heri kwake maana atakachokipata au kukosa kitakuwa chake yeye mwenyewe.

Jirekebishe ama sivyo utakombiwa na wengi. Unaishi 2026, sio 1954. Hizo zama zimeondoka na hazitarudi tena.

Amandla...
 
Mtupumzishe kwanza na mapenz tuangalie nchi. Ushauri wa mapenz wapo wataalam akina dr. Love and l0ve mapenzi.
Mambo ya kuachana mnatwambia na mlipooana hamkutuambia nyamakundo.
 
Back
Top Bottom