Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi

Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi

Mbaya zaidi aliondoka mwenyewe mida ya usiku hivi...hakuwa na nauli,,Wala hakuwa na Simu...

Kauli aliyotoa wakati anaondoka ni SIWEZI KOSA SEHEMU YA KWENDA

Tangu Jana Hadi leo ,,,Nyumbani kwao hajafika,,,,wanamtafuta,,Mama mkwe na ndugu zake,,,,maana naona wanampigia kwenye Simu yake aliyoiacha
 
Habari ndugu..
Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,,
Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute kazi,maana wanaume wa siku wakiona hufanyi kazi watakutesa,,mambo wakawa wanamlisha sumu MKE wangu,,,
Niligundua Hilo tatizo nikamkataza vikundi akawa ameacha...

Sasa baada ya miaka mitano hiyo kwenye ndoa MKE akabadilika anataka kazi,,,akawa anatafuta kazi kimya kimya mimi Sina habari,,,,nakuja kusikia habari mtaani kwamba MKE anatafuta kazi....sasa nikawa najiuliza kama anafanya maamuzi ya kutafuta kazi bila kumshirikisha Mme wake hii inakuwaje???

Baada ya Muda wakati anaendelea kutafuta niliamua nimuache kwa kumchora nione Mwisho wake...
Nikaanza uchunguzi taratibu...nikagundua Simu yake anaenda nayo kila mahali,,,hata akienda chooni anaenda chooni Simu anakuwa nayo...
Nikaanza kuingiwa na mashaka,,,siku Moja nikashika Simu yake bila yeye kujua,ghafla iliingia meseji inasema""ILE KAZI NIMEKUTA KUNA DADA MOJA AMESHAICHUKUA TANGU J,NNE,, KWAHIYO SUBIRI KIDOGO ""

Niliamua nimuulize MKE wangu akasema,,,ni kweli hii meseji inanimhusu yete,,,ila aliyeituma hamjui....

Sasa mimi niliamua niipigie hiyo namba iliyomtumia meseji...kuongeza nae sauti ya mwanaume,,,akakili kwamba huyu ambaye alishamuomba amtafutie kazi...ndo maana alituma hiyo meseji kumjulisha.

Baada ya kumbana sana,,MKE wangu,akasema Yeye huyo mwanaume hamjui,,,ila anashangaa meseji hiyo,,,

Ila baadae MKE wangu akaniambia,,,Kuna Mama mmoja Jirani ,,,alikuwa ashamuomba amuulizie kazi sehemu yoyote atakapoiona..

Sasa aliponiambia hivyo MKE wangu nikamuambia nenda uniitie huyo mwanamke huyo Jirani yetu... nimuulizie hiyo ishu inaendaje... Basi bwana MKE alipoenda,,,alirudi ananiambia huyo mwanamke hayupo...,,,,kama mambo yamefikia hapo basi Bora mi niondoke Humu ndani... nikamuambia sawa ... kweli Mwanamke kafunga mizigo kaondoka...

Sasa baada ya mwanamke kuondoka...akili ikanijia ,,,niende nikamuulize huyo mwanamke Jirani...nilipofika kwa Jirani...huyo mwanamke akasema mimi nilikuwepo Wala sijatoka....kuhusu MKE wako kumtafutia kazi hawajawahi kuyaongelea...
Sasa huyo Mwanamke Jirani...niliamua nimuonyeshe meseji iliyotumwa kwa MKE wangu...akashagaa ni namba ya Mume wake...na akaniambia Namba ya MKE wangu...hata Mume wake Anayo kwenye Simu yake... Inamaana wanawasiliana kimyakimya...

NB..Ndo Maana nilipomuambia MKE wangu,,kwamba nataka niwaunganishe huyo mwanamke Jirani na mume wake ...kuwaulizia hii message iliyotumwa kwenye Simu yake...AKAAMUA KUFUNGASHA VIRAGO KUKIIMBIA...ameona atagundulika kuhusu huyo mwanaume...

...,.....,....................,.........
Kiufupi,,,MKE WANGU ALIKUWA NA NAMBA YA MUME WA RAFIKI YAKE WANAWASILIANA MWASWALA YA KAZI...BILA RAFIKI YAKE KUJUA CHOCHOTE KINACHOENDELEA

Ameniachia mtoto mmoja,,,SIJUI MNANISHAURIJE?
Wewe ni kilaza promax. Yaan mkeo anataka kazi wewe unamzuia. Huu ushamba mtauacha lin?
 
Mbaya zaidi aliondoka mwenyewe mida ya usiku hivi...hakuwa na nauli,,Wala hakuwa na Simu...

Kauli aliyotoa wakati anaondoka ni SIWEZI KOSA SEHEMU YA KWENDA

Tangu Jana Hadi leo ,,,Nyumbani kwao hajafika,,,,wanamtafuta,,Mama mkwe na ndugu zake,,,,maana naona wanampigia kwenye Simu yake aliyoiacha
Wewe ni mjima! inaonekana ulikua unamtisha tisha sana na vitu vyako, hadi simu umebaki nayo ww??
Kwa kifupi tu huyo dada akiweza huko aliko asirudi hapo kwako!
 
Kuwa makini maana kuna kuteswa na mapenzi na kuteswa na mwanamke hivyo ni vitu viwili tofauti.
 
Habari ndugu..
Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,,
Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute kazi,maana wanaume wa siku wakiona hufanyi kazi watakutesa,,mambo wakawa wanamlisha sumu MKE wangu,,,
Niligundua Hilo tatizo nikamkataza vikundi akawa ameacha...

Sasa baada ya miaka mitano hiyo kwenye ndoa MKE akabadilika anataka kazi,,,akawa anatafuta kazi kimya kimya mimi Sina habari,,,,nakuja kusikia habari mtaani kwamba MKE anatafuta kazi....sasa nikawa najiuliza kama anafanya maamuzi ya kutafuta kazi bila kumshirikisha Mme wake hii inakuwaje???

Baada ya Muda wakati anaendelea kutafuta niliamua nimuache kwa kumchora nione Mwisho wake...
Nikaanza uchunguzi taratibu...nikagundua Simu yake anaenda nayo kila mahali,,,hata akienda chooni anaenda chooni Simu anakuwa nayo...
Nikaanza kuingiwa na mashaka,,,siku Moja nikashika Simu yake bila yeye kujua,ghafla iliingia meseji inasema""ILE KAZI NIMEKUTA KUNA DADA MOJA AMESHAICHUKUA TANGU J,NNE,, KWAHIYO SUBIRI KIDOGO ""

Niliamua nimuulize MKE wangu akasema,,,ni kweli hii meseji inanimhusu yete,,,ila aliyeituma hamjui....

Sasa mimi niliamua niipigie hiyo namba iliyomtumia meseji...kuongeza nae sauti ya mwanaume,,,akakili kwamba huyu ambaye alishamuomba amtafutie kazi...ndo maana alituma hiyo meseji kumjulisha.

Baada ya kumbana sana,,MKE wangu,akasema Yeye huyo mwanaume hamjui,,,ila anashangaa meseji hiyo,,,

Ila baadae MKE wangu akaniambia,,,Kuna Mama mmoja Jirani ,,,alikuwa ashamuomba amuulizie kazi sehemu yoyote atakapoiona..

Sasa aliponiambia hivyo MKE wangu nikamuambia nenda uniitie huyo mwanamke huyo Jirani yetu... nimuulizie hiyo ishu inaendaje... Basi bwana MKE alipoenda,,,alirudi ananiambia huyo mwanamke hayupo...,,,,kama mambo yamefikia hapo basi Bora mi niondoke Humu ndani... nikamuambia sawa ... kweli Mwanamke kafunga mizigo kaondoka...

Sasa baada ya mwanamke kuondoka...akili ikanijia ,,,niende nikamuulize huyo mwanamke Jirani...nilipofika kwa Jirani...huyo mwanamke akasema mimi nilikuwepo Wala sijatoka....kuhusu MKE wako kumtafutia kazi hawajawahi kuyaongelea...
Sasa huyo Mwanamke Jirani...niliamua nimuonyeshe meseji iliyotumwa kwa MKE wangu...akashagaa ni namba ya Mume wake...na akaniambia Namba ya MKE wangu...hata Mume wake Anayo kwenye Simu yake... Inamaana wanawasiliana kimyakimya...

NB..Ndo Maana nilipomuambia MKE wangu,,kwamba nataka niwaunganishe huyo mwanamke Jirani na mume wake ...kuwaulizia hii message iliyotumwa kwenye Simu yake...AKAAMUA KUFUNGASHA VIRAGO KUKIIMBIA...ameona atagundulika kuhusu huyo mwanaume...

...,.....,....................,.........
Kiufupi,,,MKE WANGU ALIKUWA NA NAMBA YA MUME WA RAFIKI YAKE WANAWASILIANA MWASWALA YA KAZI...BILA RAFIKI YAKE KUJUA CHOCHOTE KINACHOENDELEA

Ameniachia mtoto mmoja,,,SIJUI MNANISHAURIJE?

Tatizo sio kazi tatizo ni wewe usijidanganye na kusingizia kazi tatizo ni wewe hakutaki tena na achana na kushinda kwenye mitandao fanya kazi dogo
 
kuna ngosha aliachiwa mapacha wa mwaka. It was terrible, kila mtu alimuonea huruma, mke alikimbia kisa hali ya maisha imekuwa ngumu, a
Huyo mwanamke huko alikokimbilia alienda kufanya kazi gani🥴 ndo maisha yalienda kumnyookea? ERoni
 
Anatafutiwaje kazi na mme WA jirani BILA wewe kujua !!!!!

KAHABA HILO ACHANA NALO.
 
KAHABA HILO ACHANA NALO
 
Kosa moja halimwachi mke! Kwani kwenye simu yake ulikuta sms za mapenzi na huyo mme wa jirani yake?
Patana naye arudi mlee mtoto,msitese mtoto bure.
Kuhusu kazi,kama una uwezo ungemfungulia biashara ya kufanya.
Usisikilize watu wanaokushauri kuacha mke kwa kisingizio eti ni malaya.
Sisi wazee wa zamani tulikuwa tunasuruhishwa tunayamaliza na maisha yanaendelea.
 
Nikisema ndoa utumwa mnapayuka kama wehu..!!
Sasa maisha gani hayo hutaki mkeo afanye kazi? Eti vitabu vya dini vilikuwa sahihi kumnyima mwanamke uhuru..!! WTF
 
Tatizo lake wala sio uchumi. Tatizo la mleta mada ni la kiakili zaidi, mentality.

Huyu superHB it seems ni mtafutaji shida ni vipaumbele ndio hana. Ukiwa na rafiki kama huyu utamjua tu kuwa akili zake zimekaa kimaskini kulingana na misimamo yao mibovu. Analeta ubaunsa kwenye njaa.

Kuna jamaa yangu alifeli shule alikuwa bodaboda akatumia hata hela kumtafutia mke wake kazi. Hata mwaka haukuisha yule jamaa akafariki kwa ajali pale Mbagala, mkewe kwa siku za mwanzoni ndio alipeleka watoto shule na kununua mahitaji kabla ya vikao vya ukoo kutafuta solution.
Kumbe ndugu zetu maskini ukiwa huna kitu kabisa kabisa wanakuepuka utakuwa mzigo completely. Wewe hela ya maji huna, nauli ya mjini huna, ya kula huna, ya dawa ya malaria huna. Wewe kila kitu huna.

Kuna mfanyabiashara Segerea pale alimuachisha mke wake kazi TRA wakati anaenda kumuoa ila wazazi wa mke walikataa, yeye mwenyewe akasaini form kwamba atamlipa 5M kila mwezi kama hela ya matumizi isiyo na maswali imetumikaje (factoring in kupanda daraja kazini + marupurupu). Sasa utamuiga vipi huyu wakati anajiweza, na alimfungulia biashara.

Mwanamke kama kuwa msaliti mbona anakusaliti tu akiwa mpiga umbea na mtazama Sinema Zetu.
Bora kuna wanaume wengine mmebaki mnaojielewa..!!
 
Habari ndugu..
Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,,
Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute kazi,maana wanaume wa siku wakiona hufanyi kazi watakutesa,,mambo wakawa wanamlisha sumu MKE wangu,,,
Niligundua Hilo tatizo nikamkataza vikundi akawa ameacha...

Sasa baada ya miaka mitano hiyo kwenye ndoa MKE akabadilika anataka kazi,,,akawa anatafuta kazi kimya kimya mimi Sina habari,,,,nakuja kusikia habari mtaani kwamba MKE anatafuta kazi....sasa nikawa najiuliza kama anafanya maamuzi ya kutafuta kazi bila kumshirikisha Mme wake hii inakuwaje???

Baada ya Muda wakati anaendelea kutafuta niliamua nimuache kwa kumchora nione Mwisho wake...
Nikaanza uchunguzi taratibu...nikagundua Simu yake anaenda nayo kila mahali,,,hata akienda chooni anaenda chooni Simu anakuwa nayo...
Nikaanza kuingiwa na mashaka,,,siku Moja nikashika Simu yake bila yeye kujua,ghafla iliingia meseji inasema""ILE KAZI NIMEKUTA KUNA DADA MOJA AMESHAICHUKUA TANGU J,NNE,, KWAHIYO SUBIRI KIDOGO ""

Niliamua nimuulize MKE wangu akasema,,,ni kweli hii meseji inanimhusu yete,,,ila aliyeituma hamjui....

Sasa mimi niliamua niipigie hiyo namba iliyomtumia meseji...kuongeza nae sauti ya mwanaume,,,akakili kwamba huyu ambaye alishamuomba amtafutie kazi...ndo maana alituma hiyo meseji kumjulisha.

Baada ya kumbana sana,,MKE wangu,akasema Yeye huyo mwanaume hamjui,,,ila anashangaa meseji hiyo,,,

Ila baadae MKE wangu akaniambia,,,Kuna Mama mmoja Jirani ,,,alikuwa ashamuomba amuulizie kazi sehemu yoyote atakapoiona..

Sasa aliponiambia hivyo MKE wangu nikamuambia nenda uniitie huyo mwanamke huyo Jirani yetu... nimuulizie hiyo ishu inaendaje... Basi bwana MKE alipoenda,,,alirudi ananiambia huyo mwanamke hayupo...,,,,kama mambo yamefikia hapo basi Bora mi niondoke Humu ndani... nikamuambia sawa ... kweli Mwanamke kafunga mizigo kaondoka...

Sasa baada ya mwanamke kuondoka...akili ikanijia ,,,niende nikamuulize huyo mwanamke Jirani...nilipofika kwa Jirani...huyo mwanamke akasema mimi nilikuwepo Wala sijatoka....kuhusu MKE wako kumtafutia kazi hawajawahi kuyaongelea...
Sasa huyo Mwanamke Jirani...niliamua nimuonyeshe meseji iliyotumwa kwa MKE wangu...akashagaa ni namba ya Mume wake...na akaniambia Namba ya MKE wangu...hata Mume wake Anayo kwenye Simu yake... Inamaana wanawasiliana kimyakimya...

NB..Ndo Maana nilipomuambia MKE wangu,,kwamba nataka niwaunganishe huyo mwanamke Jirani na mume wake ...kuwaulizia hii message iliyotumwa kwenye Simu yake...AKAAMUA KUFUNGASHA VIRAGO KUKIIMBIA...ameona atagundulika kuhusu huyo mwanaume...

...,.....,....................,.........
Kiufupi,,,MKE WANGU ALIKUWA NA NAMBA YA MUME WA RAFIKI YAKE WANAWASILIANA MWASWALA YA KAZI...BILA RAFIKI YAKE KUJUA CHOCHOTE KINACHOENDELEA

Ameniachia mtoto mmoja,,,SIJUI MNANISHAURIJE?
Tuko 2026 lakini bado hautaki mke wako afanye kazi? Unataka awe tegemezi bila kujali hali itakuwaje kama kipato chako kitapotea achilia kwamba kipato chake kitawasaidia kupanga vizuri maisha yenu. Unaandika kama mtu ambae anaishi 1950s na sio 2020s. Wewe ndio una tatizo, sio mke wako.

Amandla...
 
Huyo mwanamke huko alikokimbilia alienda kufanya kazi gani🥴 ndo maisha yalienda kumnyookea? ERoni
Ameachika tena huko alikokimbilia, hawa jamaa zetu wanataka vitu vizuri bila kuwajibika.
 
Ishu ni kwamba hanishirikishi mimi mambo mengi anafanya maamuzi yake... pili anaonekana ana tamaa nyingi
Akikushirikisha huwa unamsikiliza? Unajaribu kumuelewa au unataka maamuzi yote yawe jinsi wewe unavyotaka? Bila shaka anajua ni kupoteza muda kukushirikisha. Na tayari anajua kuwa hauna ushauri wa maana kama ilivyo katika hili la kutafuta kazi. Ungemsaidia kutafuta kazi, yote haya yasingetokea. Badala ya kujirekebisha unataka kumharibia mtu ambae alikuwa anamsaidia.

Amandla...
 
MREJESHO...
Kwa ndugu wote hayupo walaA kwa wazazi...
Bado anaendelea kutafutwa..
Nishatoa ripoti Kwenye Serikali za MTAA na Polisi... kwasababu amepotelea sehemu isiyojulikana....hata kwa ndugu yoyote hajafika mpaka sasa ni siku ya pili.
 
Back
Top Bottom