T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Thanks mkuu. It's seems umeoa, mkeo ni wale certified television viewer, aka "couch potatoe"?i wish you all the best
Thanks mkuu. It's seems umeoa, mkeo ni wale certified television viewer, aka "couch potatoe"?i wish you all the best
Hapa umetaja wewe kusaidiwa na watu ambao wapo ndani ya familia yako,mleta uzi anaongelea jirani na sio ndugu,elewa hilo kwanza,Sijajua sana kama wanandoa ni lazima kuwasiliana nao wote kwa pamoja kwenye vitu vidogo kama mnatafuta kuuziana mali ya familia. Sisi kwetu naweza saidiwa na mke wa baba yangu mdogo, na mumewe asijue. Au nikamsaidia binamu yangu fedha, na mumewe asijue.
Utaaminije hiyo nia yake? Angekua na nia nzuri angemuhusisha mkewe au mume wa anayemtafutia kazi kama wana makubaliano afanye kazi,kumbuka jamaa ana deal na mke wa mtu,Huyo mume alipotafutwa alisema Nia yake ya kumtafutia kazi, hakuficha kuonyesha uovu na wala hakumuhusisha mkewe
Ukisha sema "Maybe" hapo tayari huna uhakika na usemacho bali unatumia hisia tu,maybe ni mtu wa kusaidia tu bila kutaka sifa wala kuona kama ni jambo kubwa kafanya.
Kama kaambiwa na mke wa jirani kua mumewe anajua hilo ombi la kazi,na kumbe sio kweli,mume alikua hajui,mpaka hapo huoni nia mbaya ya huyo mke wa jamaa?Mwishowe wanawake hawa unamfanya jirani asimangwe na mkeo kisa umewasaidia. Na huyo jirani unaweza kuta kaambiwa na mke wa jirani yake kuwa mumewe anajua hilo ombi la kazi.
Kama aliweza kuishi miaka mitano na jamaa ina maana huduma muhimu alikua anapata,ingekua hapati huduma muhimu asingemaliza hata mwezi mmoja na jamaa,Yote hayo yanatoka palepale mwanzoni, miaka mitano bila kazi bila mtaji na super HB mwenyewe hajafanikisha hilo suala dogo kabisa.
Kuacha mtoto ni dalili kua huyu hana huruma,hana imani,ni mkorofi na pia ni mtu asiyejali kitu,hana heshima hata kwa mumewe,wala hana imani kwa mwanae,Suala la kuacha mtoto ni kosa. Ila suala la kutafuta kazi sio kosa hata kidogo.
Uzuri wameachana. Huyu akatafute kazi, huyu akatafute golikipa. To each their ownHapa umetaja wewe kusaidiwa na watu ambao wapo ndani ya familia yako,mleta uzi anaongelea jirani na sio ndugu,elewa hilo kwanza,
Utaaminije hiyo nia yake? Angekua na nia nzuri angemuhusisha mkewe au mume wa anayemtafutia kazi kama wana makubaliano afanye kazi,kumbuka jamaa ana deal na mke wa mtu,
Ukisha sema "Maybe" hapo tayari huna uhakika na usemacho bali unatumia hisia tu,
Kama kaambiwa na mke wa jirani kua mumewe anajua hilo ombi la kazi,na kumbe sio kweli,mume alikua hajui,mpaka hapo huoni nia mbaya ya huyo mke wa jamaa?
Kama aliweza kuishi miaka mitano na jamaa ina maana huduma muhimu alikua anapata,ingekua hapati huduma muhimu asingemaliza hata mwezi mmoja na jamaa,
Kuacha mtoto ni dalili kua huyu hana huruma,hana imani,ni mkorofi na pia ni mtu asiyejali kitu,hana heshima hata kwa mumewe,wala hana imani kwa mwanae,
Hata Wanyama hua ni wakali kwa watoto wao na hawawezi kuwaacha hivyo.
Hawaja achana bali mwanamke ndio ameondoka kwa ridhaa yake,kuachana ni mpaka atakapo pewa talaka na ikatambulika rasmi kidini na kiserikali,huyo bado anahesabiwa kua ni Mke wa jamaa,Uzuri wameachana. Huyu akatafute kazi, huyu akatafute golikipa. To each their own
kama Bibi yako miaka ya 1970's alikuwa mjamzito means baba/mama yako atakuwa amezaliwa around 1975-1979 hivyo kwa haraka haraka utakuwa unamiaka kati ya 20 mpaka 25.Avumilie kidogo miaka mitano?
Wewe ni jamii ya wapi na una elimu gani.
Mbona sijaona dalili yoyote ya mkeo kufanya kosa, kaomba kutafutiwa kazi na jirani wala sio mtu wa mbali. Sijaona kwamba amefanya kitu kibaya wala kukusaliti kwenye kutafuta kazi. Kama hutaki aajiriwe mbona miaka mitano yote unamfanya beki tatu tu ndani wewe mwenyewe huna hela ndio maana unatafuta mtaji miaka mitano yote.
Inaonekana kabisa wewe peke yako huwezi kutosheleza mahitaji ya familia mpaka yeye afanye kuingiza kipato. Kwanini unaiga lifestyle ya wanaume wenzako wenye uwezo kiuchumi.
Babu yangu miaka ya 1970s mwanzoni alimpeleka bibi kwenye mafunzo maalum akapate kazi, tena muda huo akiwa mjamzito. Wewe 2026 unaachana na mke kisa anatafuta kazi na mtaji wa kumpa huna. Nenda kaoe kula kulala huyo mke ulikosea hapo ungeishi kwa wasiwasi naye.
Kosa kubwa sanaa fuata mtiririko wa reply zangu kuhusu malalamiko ya jamaa so far jamaa anaonekana ana wivu kupindukia so akaona amrusherushe mwanamke ili tu asifanye kazi ,haiwezekani ndani ya miaka 5 akose mtaji sasa acha akagongewe waziwaziAlifeli kutafuta kazi au mtaji kwa miaka mitano. Amefanya makusudi au kakosa bahati mbaya hiyo hatujui, ila kazi wala mtaji vyote hajaleta. Hilo sio gari wala nyumba, ni vitu vya kuweka commitment ukadunduliza au kuomba msaada kwa watu wenye heshima zao.
Mke sio gogo kwamba bila akili ya mwanaume basi maisha yameishia hapo, akaomba msaada wa jirani kumtafutia kazi.
Hajalala na jirani, hajajitongozesha, hajafanya usaliti, hajajiuza, hajafanya kitu kinyume na sheria za nchi, wala za dini, wala za kiutamaduni.
NB: Mama yangu alimtafutia jamaa kazi, huyo jamaa akakosa. Mama akasema sasa si wamuombee mke wake, field ilikuwa ni IT na haina wanawake wengi kwahiyo kampuni kuna namna fulani inafaidika na kandarasi ikiwa na IT specialists wa kike walau idadi kadhaa. Mke akaanza kutunza familia kwa kushirikiana na dada wa huyo mume wake kwa miaka mitatu kisha mume akapata kazi, muda wote huo alikuwa anafanya gigs ambazo hazitoshelezi. Wote wana degree moja na graduates wa mwaka mmoja. Ni wale Waislamu wanaosema kuoa ni sunna hata kama hawana hata kijiko.
Tena mke alipoingia kwenye field ndio akapata kazi ya mume wake.
Na pia somewhere nilipopitia kwenye utafutaji kuna mama anaishi Mbweni, mume wake ni jobless lialia. Ni Wasabato huwa hawapeleki vitu kwa kulazimisha, yule bwana tangu contract na taasisi yake iishe hakuwa na kazi. Ila hakukuwa na dharau wala watu baki hawajui. Mke anamaliza bajeti zote na anampa mume pocket money, enzi wana hela walijenga so hawana kodi. Sijui alipata kazi baadae, sijui.
Nyinyi mnawapata wapi hao wake mnaoishi nao kama digidigi. Mnaishi mkiamini siku zote hamtoumwa, hamtoumia, hamtopata changamoto. Hivi hata bima mnazo kweli nyie, maana mnajiamini sana. Mke hata auze genge hutaki unataka umvundike ndani wakati hela zenyewe hazitoshi .
🤣 🤣 🙌Mkuu unanyooka sanaUme bold sana issue ya kazi na kuacha jambo Muhimu, Kuomba kazi sio shida, shida hapo mkeo Malayal
Kwani kila siku tunaanza kufa wanaume??unaoa submissive woman wa yes sir hautaki afanye kazi yoyote je ukifa leo nani atalea mwanao ikiwa hautaki mke wako ajiingize katika kutafuta PESA.
Hivi kwenye maisha ya kawaida hakuna watu wenye changamoto kama hizi kwenye ndoa? Naona kila mtu anasema ”malaya" kwani haiwezekani kushauri bila kumuita mtu malaya na habari haijaonesha kama kuna umalaya hapo!Kiufupi huyo mwanamke ni either malaya au mtu ambaye hapendi kukaa tu bila kazi so ameshindwa kuvumilia ahadi zako ambazo hazitekelezeki kwa wakati na yeye hataki kuwa kama beki 3 na bado unamzuia kuongea na majirani inamaan hutaki wabadilishane mawazo ilhali yupo tu nyumbani
Yaani braza bado unaruhusu moyo wako ujiulize haya???Sasa tuna mtoto Tiyari...itakuwaje
Hapo mke anatafuta kazi au anatombw@ na jirani???Wewe huna akili,badala ya kumuunga mkono wife anayetafuta kazi ili asikae kizembe nyumbani ww unaona hafai,
Je angekuwa anachepuka ww si ungepiga na kuua maisha yenyew inaonekana huna lakin hutaki wife afanye kazi kuongeza kipato.jinga sana wewe
Kuna mtu alinijaribu, guess what😝😝W
Wanaume hua wana tabia ya kushikilia mtoto kama njia ya kukomoa na kukutia ubaya kwenye jamii.
Wanawake wa siku hizi wengi wao they don’t give a dm*n,ukisema kama unaondoka acha mtoto wanakuachia bila kugeuka nyuma 🤣
Heshima yako Mkuu,kama Bibi yako miaka ya 1970's alikuwa mjamzito means baba/mama yako atakuwa amezaliwa around 1975-1979 hivyo kwa haraka haraka utakuwa unamiaka kati ya 20 mpaka 25.
Kwa umri huo bado haujajua chochote kuhusu ndoa ,unaendeshwa na mihemko ya bata za online ,vitabu vya dini vinasema Mwanamke muheshimu mme wako na mwanamme mpende mkeo na ishi naye kwa akili ,unajua maana yake?
Kwenda kwa jirani tena Mme wa mtu hata mkewe hajui kwamba unatafutiwa kazi ni sawa? Kutafutiwa kazi ni jambo zuri sasa kwanini amfiche mmewe? Kwa ufahamu wako una cases ngapi ambazo mwanamme alimtafutia mkewe kazi halafu mambo yakanyooka? Mimi nina cases karibi 20 ambazo m/me alimtafutia mkewe kazi au alimfungulia biashara ambazo 15 wanawake waliwaacha waume zao na hizo 5 ni tia maji tia maji.
Nani alikwambia fedha ya mwanamke inasaidia mambo ya nyumbani? kati ya wanawake 100 wanaofanya kazi ukipata wa 5 fedha zinasaidia familia ya nyumbani basi shukuru...Mwanamke mama wa nyumbani ndiyo mzuri kuishi naye ,swala la mbele ajuaye Mungu si uliona watoto wa hans pope walikuwa wanalia kwenye mitandao hawana kitu ingawa baba yao alikuwa bilionea na biashara kibao? Unataka kusema mke wa hans pope alikuwa hana biashara au kazi? Familia ngapi Baba ana kazi na mama hana kazi(mama wa nyumbani) zimedumu na watoto wamekuwa watu wakubwa tu serikalini/private sectors? Familia ngapi zimelelewa na Mama bila baba na zimekuwa vizuri?
Bado mdogo sana kuzungumzia changamoto za ndoa ,mwanamke akishaanza jeuri fukuza ,na wengi 99% wakienda huko wanaishia kufukuzwa pia na 1% wanaishi maisha mabovu kuhofia kuchekwa kwa walichofanya wengine wanaishia kuambukizwa kazeze maana wanaenda kujiachia waliona wanabanwa sana kwenye ndoa.
KWanini afanye siri it means kuna jambo la siri linaendelea baina ya huyo mwanamke na huyo mume wa jirani yake na pande zote hawajui kama huyo mwanamke anatafutiwa kazi yaan hajamwambia mume wake na huyo jamaa anayemtafutia kazi ,mke wake hana taarifa unafikiria nini hapo hata kama hawa watu wamegombana lazima angemtafutia muda amwambie ,,,swali i why amenyamaza bila kumshirikisha mme wake?Hivi kwenye maisha ya kawaida hakuna watu wenye changamoto kama hizi kwenye ndoa? Naona kila mtu anasema ”malaya" kwani haiwezekani kushauri bila kumuita mtu malaya na habari haijaonesha kama kuna umalaya hapo!
Kuna comment yangu hapo juu nimeandika huyo ni malaya nashangaa povu linawatoka wengine ,kiufupi huyo mwanamke anapelekewa moto na jamaa wa jiraniHapo mke anatafuta kazi au anatombw@ na jirani???
Hujaona hilo, au umeamua kufunga akili usielewe???
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Wanawake nuksi sanaHabari ndugu..
Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,,
Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute kazi,maana wanaume wa siku wakiona hufanyi kazi watakutesa,,mambo wakawa wanamlisha sumu MKE wangu,,,
Niligundua Hilo tatizo nikamkataza vikundi akawa ameacha...
Sasa baada ya miaka mitano hiyo kwenye ndoa MKE akabadilika anataka kazi,,,akawa anatafuta kazi kimya kimya mimi Sina habari,,,,nakuja kusikia habari mtaani kwamba MKE anatafuta kazi....sasa nikawa najiuliza kama anafanya maamuzi ya kutafuta kazi bila kumshirikisha Mme wake hii inakuwaje???
Baada ya Muda wakati anaendelea kutafuta niliamua nimuache kwa kumchora nione Mwisho wake...
Nikaanza uchunguzi taratibu...nikagundua Simu yake anaenda nayo kila mahali,,,hata akienda chooni anaenda chooni Simu anakuwa nayo...
Nikaanza kuingiwa na mashaka,,,siku Moja nikashika Simu yake bila yeye kujua,ghafla iliingia meseji inasema""ILE KAZI NIMEKUTA KUNA DADA MOJA AMESHAICHUKUA TANGU J,NNE,, KWAHIYO SUBIRI KIDOGO ""
Niliamua nimuulize MKE wangu akasema,,,ni kweli hii meseji inanimhusu yete,,,ila aliyeituma hamjui....
Sasa mimi niliamua niipigie hiyo namba iliyomtumia meseji...kuongeza nae sauti ya mwanaume,,,akakili kwamba huyu ambaye alishamuomba amtafutie kazi...ndo maana alituma hiyo meseji kumjulisha.
Baada ya kumbana sana,,MKE wangu,akasema Yeye huyo mwanaume hamjui,,,ila anashangaa meseji hiyo,,,
Ila baadae MKE wangu akaniambia,,,Kuna Mama mmoja Jirani ,,,alikuwa ashamuomba amuulizie kazi sehemu yoyote atakapoiona..
Sasa aliponiambia hivyo MKE wangu nikamuambia nenda uniitie huyo mwanamke huyo Jirani yetu... nimuulizie hiyo ishu inaendaje... Basi bwana MKE alipoenda,,,alirudi ananiambia huyo mwanamke hayupo...,,,,kama mambo yamefikia hapo basi Bora mi niondoke Humu ndani... nikamuambia sawa ... kweli Mwanamke kafunga mizigo kaondoka...
Sasa baada ya mwanamke kuondoka...akili ikanijia ,,,niende nikamuulize huyo mwanamke Jirani...nilipofika kwa Jirani...huyo mwanamke akasema mimi nilikuwepo Wala sijatoka....kuhusu MKE wako kumtafutia kazi hawajawahi kuyaongelea...
Sasa huyo Mwanamke Jirani...niliamua nimuonyeshe meseji iliyotumwa kwa MKE wangu...akashagaa ni namba ya Mume wake...na akaniambia Namba ya MKE wangu...hata Mume wake Anayo kwenye Simu yake... Inamaana wanawasiliana kimyakimya...
NB..Ndo Maana nilipomuambia MKE wangu,,kwamba nataka niwaunganishe huyo mwanamke Jirani na mume wake ...kuwaulizia hii message iliyotumwa kwenye Simu yake...AKAAMUA KUFUNGASHA VIRAGO KUKIIMBIA...ameona atagundulika kuhusu huyo mwanaume...
...,.....,....................,.........
Kiufupi,,,MKE WANGU ALIKUWA NA NAMBA YA MUME WA RAFIKI YAKE WANAWASILIANA MWASWALA YA KAZI...BILA RAFIKI YAKE KUJUA CHOCHOTE KINACHOENDELEA
Ameniachia mtoto mmoja,,,SIJUI MNANISHAURIJE?
Wengi wanajibu kutumia akili za kuwa na wao wanaweza na zile experience za mapenzi ya chuoni! Wanafkiri ndoa inaendeshwa na mihemko tu!Heshima yako Mkuu,
Umemaliza kila kitu,Kumbe hapa JF tunaweza kuhangaika kumfahamisha mtu masuala ambayo hayajaishi na wala hayajui,na kiumri ni kama Mwanetu,
Mleta mada some hii comment,kisha uamuzi ni wako.