Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi

Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi

W
Umewahi kuona wapi mwanamke anajielewa akakimbia na kumuacha mume na mtoto wa 2yrs? Binafsi sijawahi kuona, mwanamke ataondoka na mtoto no matter what, kwanza sisi wanaume na malezi ya siku kwa siku wapi na wapi!

I feel for the guy ila maamuzi magumu yanahitajika, nasoma hapo eti mama anaamua kulala chini ili tu asimpe jamaa tunda.

Hapo hakuna mke wa kutengeneza nae maisha
Wanaume hua wana tabia ya kushikilia mtoto kama njia ya kukomoa na kukutia ubaya kwenye jamii.
Wanawake wa siku hizi wengi wao they don’t give a dm*n,ukisema kama unaondoka acha mtoto wanakuachia bila kugeuka nyuma 🤣
 
😭 anafanya kama kukukomoa kama unataka kuondoka niachie watoto
 
Ndio akitoka hapo akutie ubaya si unaona katelekesa mtoto 🤣🤣🤣
Bwana hata mimi nakuachi tu mtoto najua huwezi kumla nyama!
😀😀 yaan ila kuwekwa mbali na watoto ni maumivu
 
W

Wanaume hua wana tabia ya kushikilia mtoto kama njia ya kukomoa na kukutia ubaya kwenye jamii.
Wanawake wa siku hizi wengi wao they don’t give a dm*n,ukisema kama unaondoka acha mtoto wanakuachia bila kugeuka nyuma 🤣
Labda hiki kizazi chenu cha nyoka, kuna ngosha aliachiwa mapacha wa mwaka. It was terrible, kila mtu alimuonea huruma, mke alikimbia kisa hali ya maisha imekuwa ngumu, akaacha watoto wa mwaka mmoja.

Story yake ilienda hivyo, kuishi na kukimbia nyumba. Siamini mwanamke anaweza kukimbia watoto, huyo kwangu hafai kuwa mama under any circumstance.
 
Itakuwa ulimwambia chagua kati ya kazi na ndoa akachagua kazi. Ukampa option tena kama umechagua kazi ukiondoka hapa unaacha mtoto nae akaona bora akuachie mwanao atamtafuta akiwa mkubwa .

Wanawake wa siku hizi sio kama zamani wanaenda zao mbele bila kugeuka nyuma.
 
Sanaa nahisi itakua ilikua hivi
 
Labda hiki kizazi chenu cha nyoka, kuna ngosha aliachiwa mapacha wa mwaka. It was terrible, kila mtu alimuonea huruma, mke alikimbia kisa hali ya maisha imekuwa ngumu, akaacha watoto wa mwaka mmoja.

Story yake ilienda hivyo, kuishi na kukimbia nyumba. Siamini mwanamke anaweza kukimbia watoto, huyo kwangu hafai kuwa mama under any circumstance.
Mkuu ni bora kukimbia ukaacha watoto iko siku utawaona kuliko kufia hapo!
It’s true ni kizazi cha sasa lakini kiukweli siwalaumu.
Kama unaona baba ataweza kukaa na huyo mtoto akmpatia mahitaji muhimu unamuacha tu,labda tu kama huyo mwanaume ni kichaa anaweza ku mu SA
 
Habari ndugu..
Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,,
Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute kazi,maana wanaume wa siku wakiona hufanyi kazi watakutesa,,mambo wakawa wanamlisha sumu MKE wangu,,,
Niligundua Hilo tatizo nikamkataza vikundi akawa ameacha...

Sasa baada ya miaka mitano hiyo kwenye ndoa MKE akabadilika anataka kazi,,,akawa anatafuta kazi kimya kimya mimi Sina habari,,,,nakuja kusikia habari mtaani kwamba MKE anatafuta kazi....sasa nikawa najiuliza kama anafanya maamuzi ya kutafuta kazi bila kumshirikisha Mme wake hii inakuwaje???

Baada ya Muda wakati anaendelea kutafuta niliamua nimuache kwa kumchora nione Mwisho wake...
Nikaanza uchunguzi taratibu...nikagundua Simu yake anaenda nayo kila mahali,,,hata akienda chooni anaenda chooni Simu anakuwa nayo...
Nikaanza kuingiwa na mashaka,,,siku Moja nikashika Simu yake bila yeye kujua,ghafla iliingia meseji inasema""ILE KAZI NIMEKUTA KUNA DADA MOJA AMESHAICHUKUA TANGU J,NNE,, KWAHIYO SUBIRI KIDOGO ""

Niliamua nimuulize MKE wangu akasema,,,ni kweli hii meseji inanimhusu yete,,,ila aliyeituma hamjui....

Sasa mimi niliamua niipigie hiyo namba iliyomtumia meseji...kuongeza nae sauti ya mwanaume,,,akakili kwamba huyu ambaye alishamuomba amtafutie kazi...ndo maana alituma hiyo meseji kumjulisha.

Baada ya kumbana sana,,MKE wangu,akasema Yeye huyo mwanaume hamjui,,,ila anashangaa meseji hiyo,,,

Ila baadae MKE wangu akaniambia,,,Kuna Mama mmoja Jirani ,,,alikuwa ashamuomba amuulizie kazi sehemu yoyote atakapoiona..

Sasa aliponiambia hivyo MKE wangu nikamuambia nenda uniitie huyo mwanamke huyo Jirani yetu... nimuulizie hiyo ishu inaendaje... Basi bwana MKE alipoenda,,,alirudi ananiambia huyo mwanamke hayupo...,,,,kama mambo yamefikia hapo basi Bora mi niondoke Humu ndani... nikamuambia sawa ... kweli Mwanamke kafunga mizigo kaondoka...

Sasa baada ya mwanamke kuondoka...akili ikanijia ,,,niende nikamuulize huyo mwanamke Jirani...nilipofika kwa Jirani...huyo mwanamke akasema mimi nilikuwepo Wala sijatoka....kuhusu MKE wako kumtafutia kazi hawajawahi kuyaongelea...
Sasa huyo Mwanamke Jirani...niliamua nimuonyeshe meseji iliyotumwa kwa MKE wangu...akashagaa ni namba ya Mume wake...na akaniambia Namba ya MKE wangu...hata Mume wake Anayo kwenye Simu yake... Inamaana wanawasiliana kimyakimya...

NB..Ndo Maana nilipomuambia MKE wangu,,kwamba nataka niwaunganishe huyo mwanamke Jirani na mume wake ...kuwaulizia hii message iliyotumwa kwenye Simu yake...AKAAMUA KUFUNGASHA VIRAGO KUKIIMBIA...ameona atagundulika kuhusu huyo mwanaume...

...,.....,....................,.........
Kiufupi,,,MKE WANGU ALIKUWA NA NAMBA YA MUME WA RAFIKI YAKE WANAWASILIANA MWASWALA YA KAZI...BILA RAFIKI YAKE KUJUA CHOCHOTE KINACHOENDELEA

Ameniachia mtoto mmoja,,,SIJUI MNANISHAURIJE?
The policy is marry a woman that you can afford to leave immediately. In case of such suspicions......huyu ni Malaya achana nae haraka dont comptomise.
 
1. Mtafuta mkeo (kumbuka siyo mchepuko), popote alipo, badili aina ya mazungumzo, usiwe mkali, jikaze sana, ukimpata ongea naye kwa upole sana hata kama yeye atakuwa mkali.

2. Watafute wazazi wake+wazazi wako (siyo viongozi wa dini labda wawe viongozi wa kiroho), mkae wote, eleza dukuduku lako lakini weka wazi kuhusu mpango wako wa kumuwezesha.

3. Msiwe juu wote, we ni mwanaume, kuwa na kifua hata kama unaumia, usikilize anaongea nini mkeo, yameze yote.

4. Usitafute mabaya ya mkeo, jikite kutafuta mema ya mkeo kuliko mabaya. Na usimuwazif mabaya

5. Msamehe mkeo maana yawezekana aliteleza au ushawishi wa watu wajinga ulimzidi
-kumbuka hakuna mkamilifu.
-kumbuka mwanamke mwenye mimba changa, au mtoto mmoja huwa wana aina fulani hv ya madhaifu yao.

6. Akirudi, mpe mimba, usikae interval ndefu hvo wakati wote ni vijana bado (hautanielewa)

msamehe mkeo, muombee mkeo, mtafute mkeo kwa mstakabali mwema wa mtoto wako na familia yako.

UBARIKIWE NDUGU
 
Hiyo comment yako ukiisoma tena kwa utulivu utagundua kua umekosea,ni sawa mke alikua na nia njema kutafta kazi ila njia aliyotumia sio sahihi na kwanini kakimbia mwenyewe hapo unagundua kwamba tayari kashaliwa na uyo mme wa rafiki yake so hataki ijulikane so hata biblia imesema mke akizini mwache.

Sasa nimekosea nini na maneno ni yangu, au ulinipa exam?

Hayo kwani lazima, niyaandike pia? Au niseme braa braaa braa, niseme walikuwa wanakula a kwa, guest au nyuma ya, ngumba zao?
Hayo andika wewe acha mimi niandike kwa engo nataka

Jifunze uwe ufikirie nje ya boksi...

Haya nimekujibu exam ingine 😅 😅 😅 😅
 
Habari ndugu..
Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,,
Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute kazi,maana wanaume wa siku wakiona hufanyi kazi watakutesa,,mambo wakawa wanamlisha sumu MKE wangu,,,
Niligundua Hilo tatizo nikamkataza vikundi akawa ameacha...

Sasa baada ya miaka mitano hiyo kwenye ndoa MKE akabadilika anataka kazi,,,akawa anatafuta kazi kimya kimya mimi Sina habari,,,,nakuja kusikia habari mtaani kwamba MKE anatafuta kazi....sasa nikawa najiuliza kama anafanya maamuzi ya kutafuta kazi bila kumshirikisha Mme wake hii inakuwaje???

Baada ya Muda wakati anaendelea kutafuta niliamua nimuache kwa kumchora nione Mwisho wake...
Nikaanza uchunguzi taratibu...nikagundua Simu yake anaenda nayo kila mahali,,,hata akienda chooni anaenda chooni Simu anakuwa nayo...
Nikaanza kuingiwa na mashaka,,,siku Moja nikashika Simu yake bila yeye kujua,ghafla iliingia meseji inasema""ILE KAZI NIMEKUTA KUNA DADA MOJA AMESHAICHUKUA TANGU J,NNE,, KWAHIYO SUBIRI KIDOGO ""

Niliamua nimuulize MKE wangu akasema,,,ni kweli hii meseji inanimhusu yete,,,ila aliyeituma hamjui....

Sasa mimi niliamua niipigie hiyo namba iliyomtumia meseji...kuongeza nae sauti ya mwanaume,,,akakili kwamba huyu ambaye alishamuomba amtafutie kazi...ndo maana alituma hiyo meseji kumjulisha.

Baada ya kumbana sana,,MKE wangu,akasema Yeye huyo mwanaume hamjui,,,ila anashangaa meseji hiyo,,,

Ila baadae MKE wangu akaniambia,,,Kuna Mama mmoja Jirani ,,,alikuwa ashamuomba amuulizie kazi sehemu yoyote atakapoiona..

Sasa aliponiambia hivyo MKE wangu nikamuambia nenda uniitie huyo mwanamke huyo Jirani yetu... nimuulizie hiyo ishu inaendaje... Basi bwana MKE alipoenda,,,alirudi ananiambia huyo mwanamke hayupo...,,,,kama mambo yamefikia hapo basi Bora mi niondoke Humu ndani... nikamuambia sawa ... kweli Mwanamke kafunga mizigo kaondoka...

Sasa baada ya mwanamke kuondoka...akili ikanijia ,,,niende nikamuulize huyo mwanamke Jirani...nilipofika kwa Jirani...huyo mwanamke akasema mimi nilikuwepo Wala sijatoka....kuhusu MKE wako kumtafutia kazi hawajawahi kuyaongelea...
Sasa huyo Mwanamke Jirani...niliamua nimuonyeshe meseji iliyotumwa kwa MKE wangu...akashagaa ni namba ya Mume wake...na akaniambia Namba ya MKE wangu...hata Mume wake Anayo kwenye Simu yake... Inamaana wanawasiliana kimyakimya...

NB..Ndo Maana nilipomuambia MKE wangu,,kwamba nataka niwaunganishe huyo mwanamke Jirani na mume wake ...kuwaulizia hii message iliyotumwa kwenye Simu yake...AKAAMUA KUFUNGASHA VIRAGO KUKIIMBIA...ameona atagundulika kuhusu huyo mwanaume...

...,.....,....................,.........
Kiufupi,,,MKE WANGU ALIKUWA NA NAMBA YA MUME WA RAFIKI YAKE WANAWASILIANA MWASWALA YA KAZI...BILA RAFIKI YAKE KUJUA CHOCHOTE KINACHOENDELEA

Ameniachia mtoto mmoja,,,SIJUI MNANISHAURIJE?
Anzisha mahusiano na huyo mke wa jirani yako
 
Nimempa ushauri kulingana alivyojieleza coz hajaweka financial status yake na hajasema kama anaishi kwake au nyumba za kupanga na ndo maana nikampa option achague atakayoweza yeye. Oa ndo ujue maisha hizo ya kumpa gf wako zitakosa cku moja ndugu yangu T14 Armata
Siwezi oa mwanamke hana kitu cha kufanya. Pedi, mafuta, kushuka anavipataje na kila siku unakuta kapendeza?

Hata kama anaacha kazi, ila awe alikuwa nayo. Hata kama namtafutia biashara, ila nimkute anafanya. Binti hajihusishi na ususi, ufumaji, si fundi cherehani, sio mwalimu, sio mkulima wa mbogamboga, sio mfanyakazi wa kazi za ndani, sio muuguzi, sio muuzaji kwa mamantilie. Yaani yeye purpose yake kwenye maisha ni nini?
Unless awe ni recent graduate hivyo ni job seeker na anaishi kwao.
 
i wish you all the best
 
1771144642816.png
 
Kwa hiyo alifanya kusudi kutomtafutia mke kazi ?
Alifeli kutafuta kazi au mtaji kwa miaka mitano. Amefanya makusudi au kakosa bahati mbaya hiyo hatujui, ila kazi wala mtaji vyote hajaleta. Hilo sio gari wala nyumba, ni vitu vya kuweka commitment ukadunduliza au kuomba msaada kwa watu wenye heshima zao.

Mke sio gogo kwamba bila akili ya mwanaume basi maisha yameishia hapo, akaomba msaada wa jirani kumtafutia kazi.

Hajalala na jirani, hajajitongozesha, hajafanya usaliti, hajajiuza, hajafanya kitu kinyume na sheria za nchi, wala za dini, wala za kiutamaduni.

NB: Mama yangu alimtafutia jamaa kazi, huyo jamaa akakosa. Mama akasema sasa si wamuombee mke wake, field ilikuwa ni IT na haina wanawake wengi kwahiyo kampuni kuna namna fulani inafaidika na kandarasi ikiwa na IT specialists wa kike walau idadi kadhaa. Mke akaanza kutunza familia kwa kushirikiana na dada wa huyo mume wake kwa miaka mitatu kisha mume akapata kazi, muda wote huo alikuwa anafanya gigs ambazo hazitoshelezi. Wote wana degree moja na graduates wa mwaka mmoja. Ni wale Waislamu wanaosema kuoa ni sunna hata kama hawana hata kijiko.

Tena mke alipoingia kwenye field ndio akapata kazi ya mume wake.

Na pia somewhere nilipopitia kwenye utafutaji kuna mama anaishi Mbweni, mume wake ni jobless lialia. Ni Wasabato huwa hawapeleki vitu kwa kulazimisha, yule bwana tangu contract na taasisi yake iishe hakuwa na kazi. Ila hakukuwa na dharau wala watu baki hawajui. Mke anamaliza bajeti zote na anampa mume pocket money, enzi wana hela walijenga so hawana kodi. Sijui alipata kazi baadae, sijui.

Nyinyi mnawapata wapi hao wake mnaoishi nao kama digidigi. Mnaishi mkiamini siku zote hamtoumwa, hamtoumia, hamtopata changamoto. Hivi hata bima mnazo kweli nyie, maana mnajiamini sana. Mke hata auze genge hutaki unataka umvundike ndani wakati hela zenyewe hazitoshi .
 
Habari ndugu..
Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,,
Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute kazi,maana wanaume wa siku wakiona hufanyi kazi watakutesa,,mambo wakawa wanamlisha sumu MKE wangu,,,
Niligundua Hilo tatizo nikamkataza vikundi akawa ameacha...

Sasa baada ya miaka mitano hiyo kwenye ndoa MKE akabadilika anataka kazi,,,akawa anatafuta kazi kimya kimya mimi Sina habari,,,,nakuja kusikia habari mtaani kwamba MKE anatafuta kazi....sasa nikawa najiuliza kama anafanya maamuzi ya kutafuta kazi bila kumshirikisha Mme wake hii inakuwaje???

Baada ya Muda wakati anaendelea kutafuta niliamua nimuache kwa kumchora nione Mwisho wake...
Nikaanza uchunguzi taratibu...nikagundua Simu yake anaenda nayo kila mahali,,,hata akienda chooni anaenda chooni Simu anakuwa nayo...
Nikaanza kuingiwa na mashaka,,,siku Moja nikashika Simu yake bila yeye kujua,ghafla iliingia meseji inasema""ILE KAZI NIMEKUTA KUNA DADA MOJA AMESHAICHUKUA TANGU J,NNE,, KWAHIYO SUBIRI KIDOGO ""

Niliamua nimuulize MKE wangu akasema,,,ni kweli hii meseji inanimhusu yete,,,ila aliyeituma hamjui....

Sasa mimi niliamua niipigie hiyo namba iliyomtumia meseji...kuongeza nae sauti ya mwanaume,,,akakili kwamba huyu ambaye alishamuomba amtafutie kazi...ndo maana alituma hiyo meseji kumjulisha.

Baada ya kumbana sana,,MKE wangu,akasema Yeye huyo mwanaume hamjui,,,ila anashangaa meseji hiyo,,,

Ila baadae MKE wangu akaniambia,,,Kuna Mama mmoja Jirani ,,,alikuwa ashamuomba amuulizie kazi sehemu yoyote atakapoiona..

Sasa aliponiambia hivyo MKE wangu nikamuambia nenda uniitie huyo mwanamke huyo Jirani yetu... nimuulizie hiyo ishu inaendaje... Basi bwana MKE alipoenda,,,alirudi ananiambia huyo mwanamke hayupo...,,,,kama mambo yamefikia hapo basi Bora mi niondoke Humu ndani... nikamuambia sawa ... kweli Mwanamke kafunga mizigo kaondoka...

Sasa baada ya mwanamke kuondoka...akili ikanijia ,,,niende nikamuulize huyo mwanamke Jirani...nilipofika kwa Jirani...huyo mwanamke akasema mimi nilikuwepo Wala sijatoka....kuhusu MKE wako kumtafutia kazi hawajawahi kuyaongelea...
Sasa huyo Mwanamke Jirani...niliamua nimuonyeshe meseji iliyotumwa kwa MKE wangu...akashagaa ni namba ya Mume wake...na akaniambia Namba ya MKE wangu...hata Mume wake Anayo kwenye Simu yake... Inamaana wanawasiliana kimyakimya...

NB..Ndo Maana nilipomuambia MKE wangu,,kwamba nataka niwaunganishe huyo mwanamke Jirani na mume wake ...kuwaulizia hii message iliyotumwa kwenye Simu yake...AKAAMUA KUFUNGASHA VIRAGO KUKIIMBIA...ameona atagundulika kuhusu huyo mwanaume...

...,.....,....................,.........
Kiufupi,,,MKE WANGU ALIKUWA NA NAMBA YA MUME WA RAFIKI YAKE WANAWASILIANA MWASWALA YA KAZI...BILA RAFIKI YAKE KUJUA CHOCHOTE KINACHOENDELEA

Ameniachia mtoto mmoja,,,SIJUI MNANISHAURIJE?
Duh! Kwani wewe una miaka mingapi?
Ulioa ukiwa mdogo sana mdau.
 
Back
Top Bottom