malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Wakuu habar mke wangu usiku wasaa kumi kaamka imemtokea Hali yakutoka maji maji ya njano hivi ukeni bila kujua anaona nguo ya ndani imelowa tu,hii itakua anashida Gani hasa
Magonjwa ya zinaa hayo. Na more likely Gonorrhea. Ndo Huwa na sifa hizo. Sasa muanze kujikagua. Na matibabu hapo ni wote lazima mpate matibabu otherwise kana kuwa kaduara unapona, unapata 😂Wakuu habar mke wangu usiku wasaa kumi kaamka imemtokea Hali yakutoka maji maji ya njano hivi ukeni bila kujua anaona nguo ya ndani imelowa tu,hii itakua anashida Gani hasa
Candida inatoa weupe mzito kama maziwa ya mgando. Lakini gonorrhea inatoa uchafu wa njano au mweupe but maji maji mepesi sana. Wakati wa sex anapata maumivu sana. Dalili huwa zipo but huchelewa ukilinganisha na mwanaume. Mwanaume anapata dalili within 24 to 48 hrs. Wakati mwanamke anaweza chukua hata wiki 2 kupata dalili.🏥 Haende hospital akapime 🌡️🤒 ila kuna uwezekamo ni candida kwa kuwa gonorrhea au STI/STDs kwa wanawake huwa haionekani haraka tulitarajia wewe huoneshe dalili kabla yake.
🤒🚑 Ikiwa anahisi homa ni seriously haraka hospital.
🍞🍭🍻 Mwambie asitishe matumizi ya sukari kabisa ( soda, energy drinks, keki, pipi biscuits) kwanzia sasa, ulaji wa vyakula vyenye ngano ( mikate, mandazi, pombe n.k) na amira mara moja kwa kuwa huchangia uzaliswaji wa fungus kwa wingi. Msishiriki tendo bila kinga mpaka mtibiwe.
🥦🍉🥗 Ale vyakula vyenye virutubisho vyakutosha kama mbogamboga na matunda kwakuwa huboresha kinga ya mwili, pia muulize juu ya afya yake ya tumbo kama anashida eneo hilo kama tumbo kuja gesi, kuuma, kinyesi cha makamasi n.k
🤮 Kwa kuwa kama ni candida maeneo hayo ya tumbo pia huweza kuambatana. Ikiwa ndivyo nashauri pia atibu eneo hilo kwanza either dawa za mitishamba au hospitali choice is yours.
Nb: Ni vizuri pia hata wewe pia akaacha hivyo vyakula kwa kwa kuwa manii huweza kubebe pia hizo asidi.
🙏🙏📋
Wako ambao hutoa uchafu wa njano ndio maana tunasema vipimo kwanza. 🙏Candida inatoa weupe mzito kama maziwa ya mgando. Lakini gonorrhea inatoa uchafu wa njano au mweupe but maji maji mepesi sana. Wakati wa sex anapata maumivu sana. Dalili huwa zipo but huchelewa ukilinganisha na mwanaume. Mwanaume anapata dalili within 24 to 48 hrs. Wakati mwanamke anaweza chukua hata wiki 2 kupata dalili.
Hii nimeipenda. Mke analalaje na chupi?Analala na chupi?
Kinyesi cha makamasi ni dalili ya shida gani kaka dakitareee🏥 Haende hospital akapime 🌡️🤒 ila kuna uwezekamo ni candida kwa kuwa gonorrhea au STI/STDs kwa wanawake huwa haionekani haraka tulitarajia wewe huoneshe dalili kabla yake.
🤒🚑 Ikiwa anahisi homa ni seriously haraka hospital.
🍞🍭🍻 Mwambie asitishe matumizi ya sukari kabisa ( soda, energy drinks, keki, pipi biscuits) kwanzia sasa, ulaji wa vyakula vyenye ngano ( mikate, mandazi, pombe n.k) na amira mara moja kwa kuwa huchangia uzaliswaji wa fungus kwa wingi. Msishiriki tendo bila kinga mpaka mtibiwe.
🥦🍉🥗 Ale vyakula vyenye virutubisho vyakutosha kama mbogamboga na matunda kwakuwa huboresha kinga ya mwili, pia muulize juu ya afya yake ya tumbo kama anashida eneo hilo kama tumbo kuja gesi, kuuma, kinyesi cha makamasi n.k
🤮 Kwa kuwa kama ni candida maeneo hayo ya tumbo pia huweza kuambatana. Ikiwa ndivyo nashauri pia atibu eneo hilo kwanza either dawa za mitishamba au hospitali choice is yours.
Nb: Ni vizuri pia hata wewe pia akaacha hivyo vyakula kwa kwa kuwa manii huweza kubebe pia hizo asidi.
🙏🙏📋
Una kifua cha tumbo ambacho kinasababisha unapenga makamasi kwa njia ya haja kubwa wahi matibabu haraka kabla hali haijawa mbaya zaidiKinyesi cha makamasi ni dalili ya shida gani kaka dakitareee
Well said🏥 Haende hospital akapime 🌡️🤒 ila kuna uwezekamo ni candida kwa kuwa gonorrhea au STI/STDs kwa wanawake huwa haionekani haraka tulitarajia wewe huoneshe dalili kabla yake.
🤒🚑 Ikiwa anahisi homa ni seriously haraka hospital.
🍞🍭🍻 Mwambie asitishe matumizi ya sukari kabisa ( soda, energy drinks, keki, pipi biscuits) kwanzia sasa, ulaji wa vyakula vyenye ngano ( mikate, mandazi, pombe n.k) na amira mara moja kwa kuwa huchangia uzaliswaji wa fungus kwa wingi. Msishiriki tendo bila kinga mpaka mtibiwe.
🥦🍉🥗 Ale vyakula vyenye virutubisho vyakutosha kama mbogamboga na matunda kwakuwa huboresha kinga ya mwili, pia muulize juu ya afya yake ya tumbo kama anashida eneo hilo kama tumbo kuja gesi, kuuma, kinyesi cha makamasi n.k
🤮 Kwa kuwa kama ni candida maeneo hayo ya tumbo pia huweza kuambatana. Ikiwa ndivyo nashauri pia atibu eneo hilo kwanza either dawa za mitishamba au hospitali choice is yours.
Nb: Ni vizuri pia hata wewe pia akaacha hivyo vyakula kwa kwa kuwa manii huweza kubebe pia hizo asidi.
🙏🙏📋
Tatizo la mfumo wa chakula inaweza kuwa gerdi au linalofanana na hilo hasa kama litaambstana na dalili kama kiungulia au kichomi chini ya mbavu upande wakushoto au uchungu mdomoni wakati wakulala au kuhisi koo kuuma.Kinyesi cha makamasi ni dalili ya shida gani kaka dakitareee