sasa anakuja omba ushauri wa nn kama anajua huyo uliekua nae hakua mtu, wewe kama ulizaliwa na mnyama(mamako) then ukawa mtu, endelea tamka utumbo.
Haya nijibu sasa!
wewe kama ulizaliwa na mnyama(mamako) then ukawa mtu, endelea tamka utumbo.
Inaonekana una tatizo kubwa zaidi ya nililolisema hapo juu
Nani ametaja elimu?
Inaonekana wewe hujiamini kabisa hasa kwenye eneo la elimu ndio maana unajistukia sana
Mimi nimekuuliza umeishia darasa la ngapi,sijakuuliza elimu yako
Darasa linaweza kuwa hata la kujifunza kuiba wake za watu
Wewe sijui umefikiriaje mimi nazungumzia hicho ulichomaanisha
Una hatari sana wewe
CC Heaven on Earth .....!!!!!
Usiwe ugomvi,tafadhali naomba yaishie hapo....
Kuoa ni muunganiko wa kisheria au kidini au...,kati ya watu wawili walioamua kuishi pamoja na kuanzisha familia(not formal definition ila somehow...)...
Machameee du kama napaona vile njia panda.lambo.mfoni.nshara. makoa. kalali. kncu. machame Hosp kyalia.kati ya hizo kwao ni wapi tuanze kufanya udukuzi fasta. poleeeee
Yaani hata kuandika sentensi moja inayoeleweka unashindwa
Utaweza kuuona uwongo na kuujua wewe?
Kwa sheria zipi?
he he he, mkeo huyo?????
Za kidini,kiserikali kimila...
Unajua serikali inasema ni hadi nini kifanyike?
Una ushahidi wa hili?
Kwanini wawe wanawake wa JF na sio mahali pengine?
Ni kwanini umefikiria hili ni suala la wana wake na sio la kibinadamu?
Una matatizo wewe
KUtokuwepo mahali ambapo Mungu amesema kuwa mwanamke ni mtu haina maana kuwa mwanamke sio mtu
Usichanganye hayo mambo mawili
Lakini hiyo haimaanishi kuwa hakuna mahali ambapo Mungu amesema mwanamke ni mtu
Mwanzo 1:27 inasema
27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Hapo Mungu anasema kuwa wote aliwaumba kwa mfano wake,kama mwanamke aliumbwa kwa mfano wa Mungu na mwanaume nae hivyo hivyo watakuwaje na tofauti za hovyo unazotaka kuzileta?
Pia tazama mstari huu
Mwanzo 2:18
18 Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana
Mungu anasema hapo kuwa anamfanyizia Adam msaidizi wa kufanana nae
Unajua maana ya kufanana wewe?
Anaetafuta sifa ni nani sasa?
KUFANANA NA SIO KUWA wewe ndo ukae kimya cc Eiyer
karibu kwenye yetu dunia msaidizi
mwanamke si mtu ni kiumbe dhaifu[/QUO
Hii naisikia leo leo!!ATi mwanamke sio mtu?????:thinking:
mwanamke si mtu ni kiumbe dhaifu[/QUO
Hii naisikia leo leo!!ATi mwanamke sio mtu?????:thinking:
karibu duniani
Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake. Nikamkarisha kikao na ndugu wakamwonya kwa tabia zake tukaendelea kuhishi kwa taadhali kubwa.
Baadaye nikapata kazi mkoa mwingine nikamfungulia kijiwe cha biashara maana muda wote aliikuwa akikaa ndani, cha kusikitisha siku niko job kasomba vitu vyote na mwanangu. Baada ya kuwapigia ndugu zake hawakuchukua hatua zozote wakidai hawajui alipo nikasikia yupo kwa mamamdogo wake Dar, kumpigia simu akasema hanitambui hivyo nisimsumbue. Nahitaji mwanangu nishauri nifanyeje kumpata maana ni damu yangu na nampenda sana.