miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Usipende kuokota wanawake barabarani...
ni kawaida kwa hao watu kufanya hivyo....Na ukizembea hata mtoto hupati,wanakatabia ka kuiba watoto...
usiogope bwana mtoto atamtafuta baba yake tu hata akiwa mzeee... huyo mtoto anamiaka mingapi? kama yupo under seven years forget about him/her for now ..... wait when time is right atakuja tu usijal
Machameee du kama napaona vile njia panda.lambo.mfoni.nshara. makoa. kalali. kncu. machame Hosp kyalia.kati ya hizo kwao ni wapi tuanze kufanya udukuzi fasta. poleeeee
umesahau uduru, nkwamwasi, lyamungo ndoo, lyamungo sinde, nronga, masama, nkweshoo, kimbushi, kisereni, waramu, kisau, urara, einei, lawii, kisiki...
Wanawake kama wa kigogo, wahaya, wakurya, waluguru, wahehe, wasukuma, wamasai , wambulu hawawezi kufanya hiki alichokifanya huyu mmachame! eti ee? Haya, sasa peleka vithibitsho kwenye vyombo sheria kuwa alikuwa ni mkeo halali na mtoto ni wako bila shaka utasaidiwa.
wanawake wanaokotwa???? hivi uko timamu wewe ama umevurugwa???
tukake radhi kijana
Mwanzo tulipofika kwao na ndugu kujitambulisha wakadai mahali baadaye kwanz tufunge ndoa ila baada ya kugundua Tania zake sikufunga naye ndoa tukaishi hivyo mpaka ananiibia
nani kakuambia elimu ni darasani ,kweli mtumwa mwone huruma
nibora ufikirie na wewe kitu kuliko kukariri bongo za watu via books without selfanalysation.
hivyo vyombo vya sheria ndo viliwashauri wagegedane
naomba kuelimishwa maana ya hilo neno maana nahisi kama namuelewa Eiyer
Angeuliza mtu mwingine ningemjibu bila hiyana. Mi nimeamua kuchutama. Ukisoma na uelewe.
asiwe na pressure
Hapo andika maumivu ulichelewa kuanza moja tangu pale ameitoa nje; hata hivyo hujachelewa anza moja kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi masuala ya mtoto yatajishughulikia yenyeweMiaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake. Nikamkarisha kikao na ndugu wakamwonya kwa tabia zake tukaendelea kuhishi kwa taadhali kubwa.
Baadaye nikapata kazi mkoa mwingine nikamfungulia kijiwe cha biashara maana muda wote aliikuwa akikaa ndani, cha kusikitisha siku niko job kasomba vitu vyote na mwanangu. Baada ya kuwapigia ndugu zake hawakuchukua hatua zozote wakidai hawajui alipo nikasikia yupo kwa mamamdogo wake Dar, kumpigia simu akasema hanitambui hivyo nisimsumbue. Nahitaji mwanangu nishauri nifanyeje kumpata maana ni damu yangu na nampenda sana.
hapo mwanzo Mungu akasema na tumuumbe mtu,wakamuumba adam,mwanamke sio mtu,sio yeye alieumbwa na Mungu,,pili Biblia inasema ishini na wanawake kwa akili,ikimaanisha wanawake hawana akili(hayo ni maneno ya Biblia,sio yangu)