Mke wangu kaiba vitu vyote ndani kaondoka na mtoto na sijui alipo

Mke wangu kaiba vitu vyote ndani kaondoka na mtoto na sijui alipo

usiogope bwana mtoto atamtafuta baba yake tu hata akiwa mzeee... huyo mtoto anamiaka mingapi? kama yupo under seven years forget about him/her for now ..... wait when time is right atakuja tu usijal
 
usiogope bwana mtoto atamtafuta baba yake tu hata akiwa mzeee... huyo mtoto anamiaka mingapi? kama yupo under seven years forget about him/her for now ..... wait when time is right atakuja tu usijal

asiwe na pressure
 
Machameee du kama napaona vile njia panda.lambo.mfoni.nshara. makoa. kalali. kncu. machame Hosp kyalia.kati ya hizo kwao ni wapi tuanze kufanya udukuzi fasta. poleeeee

umesahau uduru, nkwamwasi, lyamungo ndoo, lyamungo sinde, nronga, masama, nkweshoo, kimbushi, kisereni, waramu, kisau, urara, einei, lawii, kisiki...

Wanawake kama wa kigogo, wahaya, wakurya, waluguru, wahehe, wasukuma, wamasai , wambulu hawawezi kufanya hiki alichokifanya huyu mmachame! eti ee? Haya, sasa peleka vithibitsho kwenye vyombo sheria kuwa alikuwa ni mkeo halali na mtoto ni wako bila shaka utasaidiwa.
 
miaka ya 2007 aya yalimkuta member mwenzetu wa jf anayejiita mgt software , au ndo kaleta mada hii kwa jina ili nini? mgt tafadhali nivumilie kwa kuvujisha siri yako ila karibu utupe experience. Alaf wooote wanaofanya ivo ni wa jiografia inayofanana, kwa nini?
 
umesahau uduru, nkwamwasi, lyamungo ndoo, lyamungo sinde, nronga, masama, nkweshoo, kimbushi, kisereni, waramu, kisau, urara, einei, lawii, kisiki...

Wanawake kama wa kigogo, wahaya, wakurya, waluguru, wahehe, wasukuma, wamasai , wambulu hawawezi kufanya hiki alichokifanya huyu mmachame! eti ee? Haya, sasa peleka vithibitsho kwenye vyombo sheria kuwa alikuwa ni mkeo halali na mtoto ni wako bila shaka utasaidiwa.

hivyo vyombo vya sheria ndo viliwashauri wagegedane
 
Mwanzo tulipofika kwao na ndugu kujitambulisha wakadai mahali baadaye kwanz tufunge ndoa ila baada ya kugundua Tania zake sikufunga naye ndoa tukaishi hivyo mpaka ananiibia

Aisee! kwa hiyo ukaona usipofunga nae ndoa Tania zake zingebadilika ila ungefunga nae ndoa ndo zisingebadilika hivyo ukaamua kuishi nae hivyo mpaka akakuibia?
 
nani kakuambia elimu ni darasani ,kweli mtumwa mwone huruma
nibora ufikirie na wewe kitu kuliko kukariri bongo za watu via books without selfanalysation.

naomba kuelimishwa maana ya hilo neno maana nahisi kama namuelewa Eiyer
 
Ripoti polisi, ripoti kw WAZAZI WAKE kisha endelea na maisha yako kama kawaida!
 
Pole sana,lakini usijichoshe akili kama ulivyosema kua ulishamfumania sasa inaweza kua amekwenda kwa muhusika,au wewe na yeye hamuendani kwa njia moja au nyengine,nna imani kua bado ni kijana na mzima ki afya,chamsingi nikuanza upya sikwambi kua ni rahisi kumsahau mwanao lakini ipo siku atarudi....
 
Machame tena? Ya Ufoo yanukia hapo,nimepata harufu ya damu! Umemfungulia biashara, amekausha nyumba,kila kitu amebeba.
Wanawake wa kimachame mna nini lakini?
Nisiseme sana,mwezi ujao wa July, mdogo wangu wa kiume anabeba mzigo toka Machame!! (Ataoa msichana toka Machame)Ni ukweli kabisa, lakini... Maisha yao.
 
Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake. Nikamkarisha kikao na ndugu wakamwonya kwa tabia zake tukaendelea kuhishi kwa taadhali kubwa.

Baadaye nikapata kazi mkoa mwingine nikamfungulia kijiwe cha biashara maana muda wote aliikuwa akikaa ndani, cha kusikitisha siku niko job kasomba vitu vyote na mwanangu. Baada ya kuwapigia ndugu zake hawakuchukua hatua zozote wakidai hawajui alipo nikasikia yupo kwa mamamdogo wake Dar, kumpigia simu akasema hanitambui hivyo nisimsumbue. Nahitaji mwanangu nishauri nifanyeje kumpata maana ni damu yangu na nampenda sana.
Hapo andika maumivu ulichelewa kuanza moja tangu pale ameitoa nje; hata hivyo hujachelewa anza moja kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi masuala ya mtoto yatajishughulikia yenyewe
 
hapo mwanzo Mungu akasema na tumuumbe mtu,wakamuumba adam,mwanamke sio mtu,sio yeye alieumbwa na Mungu,,pili Biblia inasema ishini na wanawake kwa akili,ikimaanisha wanawake hawana akili(hayo ni maneno ya Biblia,sio yangu)

Mwanamke nae mtu jamani, ni katika ubavu wa Adam mwanamke alitengenezwa, au unataka utuambie uo ubavu ulikua fake.?
 
Wote mnaosema wanawake ni dhaifu ni pamoja na mama na dada zako!!! Tafadhali sana katika list hiyo ondoeni mama yangu mpenzi!!!! Unatukana wanawake wakati wanawabeba miezi 9 tumboni. By the way, hukujua kuwa wanawake wa kimachame ni wafanyabiashara? Nimeshuhudia kwa marafiki zangu walioa hawa wanawake wa kimachame, I tell you ni majanga. Samahani sana kama nimewakwaza. Nimeoa uchagani ila si machame ila nako nilikooa hawataki kabisa kusikia ukoo mtu kaoa mmachame (mchaga mwenzao!!!).
 
Back
Top Bottom