Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,689
- 6,484
Mada kama hizi hazifutwi na kina muduKata rufaa tu
Mada kama hizi hazifutwi na kina muduKata rufaa tu
Mkuu paka mafuta ngozi yako kama inapauka au ina mabakamabaka.Unaijua ngozi yangu wewe? Mkeo akiniona atakuacha hapo hapo,
Acha kuchepuka, unaogopa nini kupakwa mafuta mwili mzima?Yani mapenzi muda mwingine shida sana, amekasirika kwa jambo la ajabu sana. yeye analazimisha kua asubuhi nikitoka anipake mafuta mwili mzima, ila mimi sipo comfortable kabisa. Anaona ni nini namficha na yeye ni mke wangu.
Hili hapana
Kwenye kalio tena? Au kuna jamaa alishawapanga?Yani akupake futa mwili mpaka kwenye kalio?
Kataa mkuu anafanya doria huyo, kuna kitu akijakaa sawa kwa mwili wako.
Niko JF since 2017,nimeanzisha thread nyingi katika threads hizo hakuna iliyompelekea msomaji kuwa mleta mada ni bwabwa,tukija kwa upande wako thread 2 tu zimeshakutambulisha wewe ni bwabwa,na tutazidi shuhudia mengi kutoka kwakoWewe ni 🏳️🌈
Ili uchukue nafasi yake 😹Unaijua ngozi yangu wewe? Mkeo akiniona atakuacha hapo hapo,
😹😹😹 Kupanga ni kuchagua km penati au kona muhimu ufungwe goli..!!Uwende jumuia jumamos huenda utapata wa kukustri, unamdomo mchafu sana kuliko sura yako
Amtomase vifaa vya kukalia?Mshamba wa mapenzi...
Hujui utamu wa kupakawa mafuta na mikono ya mwanamke wewe...
Anakutomasa taratibu na vimasaji vya hapa na pale
Naishia hapa kwa Leo...
Mwanaume ak8shavaa nguo, maeneo yanayobaki wazi ndiyo hupakwa mafuta, so hapo ni uso na mikono tu, akivaa kabtura basi itakuwa na miguuniYani mapenzi muda mwingine shida sana, amekasirika kwa jambo la ajabu sana. yeye analazimisha kua asubuhi nikitoka anipake mafuta mwili mzima, ila mimi sipo comfortable kabisa. Anaona ni nini namficha na yeye ni mke wangu.
Hili hapana
Hapana, kifuani na mgongoni alafu tunapakaa kwa kutomasa... kule kwa Babu tubapakaa asali...Amtomase vifaa vya kukalia?