Mke wangu kakasirika kisa nimekataa asinipake mafuta mwili mzima

Mke wangu kakasirika kisa nimekataa asinipake mafuta mwili mzima

Yani mapenzi muda mwingine shida sana, amekasirika kwa jambo la ajabu sana. yeye analazimisha kua asubuhi nikitoka anipake mafuta mwili mzima, ila mimi sipo comfortable kabisa. Anaona ni nini namficha na yeye ni mke wangu.

Hili hapana
The final level of being smart is just pretending you don’t know anything to make your life easier.
 
Hadi m-a-t-a-k-o mkuu yatapakwa ?sasa nani ayaone
 
Mmmhhh...!
Mungu akusaidie hii Dunia ni zaidi ya macho Yako yanavyoona.
 
Hapana, kifuani na mgongoni alafu tunapakaa kwa kutomasa... kule kwa Babu tubapakaa asali...

Kuna namna tunaisafisha...

Hii ni kwa wanandoa tu, zingatia neno ndoa ..
Naaaaaaam
 
Yani mapenzi muda mwingine shida sana, amekasirika kwa jambo la ajabu sana. yeye analazimisha kua asubuhi nikitoka anipake mafuta mwili mzima, ila mimi sipo comfortable kabisa. Anaona ni nini namficha na yeye ni mke wangu.

Hili hapana
Una umri gani mkuu?
 
Mshamba wa mapenzi...
Hujui utamu wa kupakawa mafuta na mikono ya mwanamke wewe...

Anakutomasa taratibu na vimasaji vya hapa na pale

Naishia hapa kwa Leo...
Hapa hata mimi ni mshamba hasa kwenye kupakwa mafuta eneo la kalio sitaki kusikia kabisa unakuwa ugomvi. Acha niwe mshamba tu🤣
 
Ila wanawake bhana, mimi mke wangu alitaka kuninyoa vuzi zote mpaka za kwenye matako nikamkomegea, tangu siku hiyo akiniambia njoo nkunyoe namwambia bado hazijakua😀😀
Kwa kweli ni ngumu aiseee
 
Yani mapenzi muda mwingine shida sana, amekasirika kwa jambo la ajabu sana. yeye analazimisha kua asubuhi nikitoka anipake mafuta mwili mzima, ila mimi sipo comfortable kabisa. Anaona ni nini namficha na yeye ni mke wangu.

Hili hapana
Ndoa changa
 
Dawa ya mwanamke anayekasirika hovyo ni kukaa kimya!
 
Inawezekana kanuna kwasababu kagombana na mpenzi wake mpe muda atakua sawa
 
Umeandika ujinga sana
Hujajibu swali....narudia, je, alikuambia ubong'oe akupime malinda? Jibu kisha nikupe ukweli wako, nahisi nakufahamu wewe, mkeo alishanilalamikia na ni mimi ndiye niliyemuambia huu ujanja.
 
Dawa ya mwanamke anayekasirika hovyo ni kukaa kimya!
Jidanganye tu, we kaa kimya yeye anakwenda kutafuta mtu atakayemsemesha na kukuacha hivyo hivyo nyumbani na vijihasira vyako mpaka utaomba poo au kulia.
 
Jidanganye tu, we kaa kimya yeye anakwenda kutafuta mtu atakayemsemesha na kukuacha hivyo hivyo nyumbani na vijihasira vyako mpaka utaomba poo au kulia.

And who cares? Yani ninamlinda mwanamke Mpumbavu sababu ya upumbavu wake, the moment unaanza ku negotiate ujinga na mwanamke sababu atatoka nje ndo the moment maisha yako ya mateso yanaanza, mwanamke anayetoka nje ya ndoa sababu ya kiburi chake na Mimi kunyamaza, wala Sina wasiwasi, nitamuacha siku inayofuata nikishajua katoka nje ya ndoa, kamwe sita negitiate na mwanamke Mpumbavu, kama ana haki nita negotiate, kama ni kwa upumbavu wake, na aende tu
 
Back
Top Bottom