The final level of being smart is just pretending you donβt know anything to make your life easier.Yani mapenzi muda mwingine shida sana, amekasirika kwa jambo la ajabu sana. yeye analazimisha kua asubuhi nikitoka anipake mafuta mwili mzima, ila mimi sipo comfortable kabisa. Anaona ni nini namficha na yeye ni mke wangu.
Hili hapana
Kesi za ccm hizi...amtafute hata komredi mwijaku.Peleka hii kesi ukweni hayatuhusu
NaaaaaaamHapana, kifuani na mgongoni alafu tunapakaa kwa kutomasa... kule kwa Babu tubapakaa asali...
Kuna namna tunaisafisha...
Hii ni kwa wanandoa tu, zingatia neno ndoa ..
Kivipi tena jamani, hutaki kuwa mama?Koma
Una umri gani mkuu?Yani mapenzi muda mwingine shida sana, amekasirika kwa jambo la ajabu sana. yeye analazimisha kua asubuhi nikitoka anipake mafuta mwili mzima, ila mimi sipo comfortable kabisa. Anaona ni nini namficha na yeye ni mke wangu.
Hili hapana
Hapa hata mimi ni mshamba hasa kwenye kupakwa mafuta eneo la kalio sitaki kusikia kabisa unakuwa ugomvi. Acha niwe mshamba tuπ€£Mshamba wa mapenzi...
Hujui utamu wa kupakawa mafuta na mikono ya mwanamke wewe...
Anakutomasa taratibu na vimasaji vya hapa na pale
Naishia hapa kwa Leo...
Kwa kweli ni ngumu aiseeeIla wanawake bhana, mimi mke wangu alitaka kuninyoa vuzi zote mpaka za kwenye matako nikamkomegea, tangu siku hiyo akiniambia njoo nkunyoe namwambia bado hazijakuaππ
Ndoa changaYani mapenzi muda mwingine shida sana, amekasirika kwa jambo la ajabu sana. yeye analazimisha kua asubuhi nikitoka anipake mafuta mwili mzima, ila mimi sipo comfortable kabisa. Anaona ni nini namficha na yeye ni mke wangu.
Hili hapana
Hujajibu swali....narudia, je, alikuambia ubong'oe akupime malinda? Jibu kisha nikupe ukweli wako, nahisi nakufahamu wewe, mkeo alishanilalamikia na ni mimi ndiye niliyemuambia huu ujanja.Umeandika ujinga sana
Jidanganye tu, we kaa kimya yeye anakwenda kutafuta mtu atakayemsemesha na kukuacha hivyo hivyo nyumbani na vijihasira vyako mpaka utaomba poo au kulia.Dawa ya mwanamke anayekasirika hovyo ni kukaa kimya!
Jidanganye tu, we kaa kimya yeye anakwenda kutafuta mtu atakayemsemesha na kukuacha hivyo hivyo nyumbani na vijihasira vyako mpaka utaomba poo au kulia.