Mke wangu kakasirika kisa nimekataa asinipake mafuta mwili mzima

Yani mapenzi muda mwingine shida sana, amekasirika kwa jambo la ajabu sana. yeye analazimisha kua asubuhi nikitoka anipake mafuta mwili mzima, ila mimi sipo comfortable kabisa. Anaona ni nini namficha na yeye ni mke wangu.

Hili hapana
Utoto unakusumbua wewe. Nyie ndio Huwa mnatawaliwa na wanawake
 
Yani mapenzi muda mwingine shida sana, amekasirika kwa jambo la ajabu sana. yeye analazimisha kua asubuhi nikitoka anipake mafuta mwili mzima, ila mimi sipo comfortable kabisa. Anaona ni nini namficha na yeye ni mke wangu.

Hili hapana
Una vimelea vya mishale
 
Masharti ya mganga
 
Hujui pole. In short alitaka kukufanyia massage 💆
 
Kwa kipindi hiki cha baridi kama upo nyanda za juu kusini paka tu 😀, ila kama upo dsm.....anakuonea 😀ila inawezekana ngozi yako imekuwa na mabaka kama ya samaki,acha ailainishe shemeji yetu
 
Yani mapenzi muda mwingine shida sana, amekasirika kwa jambo la ajabu sana. yeye analazimisha kua asubuhi nikitoka anipake mafuta mwili mzima, ila mimi sipo comfortable kabisa. Anaona ni nini namficha na yeye ni mke wangu.

Hili hapana
Wwe ni shoga una liwa
 
Ujuwe wanawake wa bongo movie na madada wa mjini wanakusikia na kukuona, shauri yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…