Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,777
Kama ilivyo jieleza hapo juu mimi ni mtumishi wa afya katika zahanati fulani, mwezi uliopita mkewangu alienda kwao kutokana na matatizo fulani na mimi nilikuwa ndio naanza likizo.
Kunasiku jamaa mmoja aliniomba tu nimchukulie Condom atazipitia maana ilikuwa ni mda wa kufunga zahanati, baada ya hapo jamaa hakupita na mimi nikwa nimejisahau kama kuna Condom.
Likizo ilianza nikaondoka huku mke wangu akijiandaa kurudi, si akarudi hiyo leo ile anaingia ndani sianakutana na Condom bhana, dah akanipigia sim nimeshindwa hata nimjibu nini hapa maana hato niamini hata nikimwambia ukweli [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]