Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

Mwambie hapo nyumbani watu hawatakiwi kukaa zaidi ya siku kadha ulizia shughuli zake zitachukua muda gani. Amefikia kuondoka na familia yako kwenye bichi, chunga atachukua mkeo.
 
Ukiwa boya nani atajali kuwa wewe ndo mwenye nyumba. Hata mkeo atakupuuza tu na atatoka na hilo jitu.
Hapo ndo shida sasa. Hata maelezo yake yanaonyesha ni boya, mwanaume mwenzio anatembea ni kichupi mbele ya mkeo kisha unanyamaza kimya unakuja kulia huku JF.
 
Mwanaume mashine.
 
Aliomba afikie hapo kwenu? Kwa miaka hii kuna kufikia kwa mtu?
Fasta amevunja masharti na vigezo, aondoke hapo. Kabana hela zake ndio hizo anatanua anapeleka watu beach, halafu anajifanya anajua kujali. Kama kampenda mdogo wa mkeo, aende kwao na mkeo ajitambulishe na apewe taratibu. Asilete ukware kwenye miji ya wengine, wakati analishwa bure. Halafu huyo mkeo, hana ustaraabu hata kidogo. Period huwezi kumtoa mke wa mwingine outing bila taarifa yake. Niite mimi nina uzoefu kwa kushughulikia wakware uchwara hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…