Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

sasa hilo jitu si ungeliambia tu, maana kama lipo JF litakuona mzembe unaliogopa ndo litaota mapembe kabisa
 
Kuna siku atakuambia uwe unakata mauno kama jitu kunako bedi
 
Dah. Namuonea huruma sana mtoa mada... Jamaa huwa linashinda kifua wazi, na wanaangalia muvi na shemela hadi usiku mnene (kifua wazi). Ninachoogopa ni kuwa atawarukia wote...
Atakuwa kashaanza kuwarukia[emoji1]
 
Mkuu kama nakuona vile ulivovurugwa ati! Lijitu mkalishe muulize unamaliza lini shughuli zako uende kwa majitu menzio
 
Si binamu yako, mwache tu akusaidie kula mkeo kuliko kwenda kuliwa na watu baki.
Hivi wewe mwanaume rijali kabisaaa, anakuja mgeni wa kiume kwako, anajifanya yeye ndo mtawala wa nyumba, anatembea na vichupi ndani ya nyumba yako, anatoa mkeo out alafu wewe umetulia tu kisha unakuja hapa kulalamika, wewe unaakili kweli. Kwambi mimi ndo mkuu wa nyumba, hata akija baba yangu kwangu anatakiwa awe chini yangu na afanye nitakacho mimi.
Ukiwa boya nani atajali kuwa wewe ndo mwenye nyumba. Hata mkeo atakupuuza tu na atatoka na hilo jitu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo si salama mkuu...., we unakaribishaje majitu kwak
 
Ila kiukweli ili jitu limenihudhi hata mimi yani,ndio maana kila nikikutana na hii thread lazima ni comment.

Jitu linatembea na boxer ugenini?? Maamae.
 
Hilo jitu bila shaka litakua na mwili kama wa Le Mbebez, Le Jingaz..........
 
Daah Mkuu lijitu sio la kuliamini kabisa kama limeanza kupata sifa zaidi yako hasa kwa mke wako basi lijitu ni lijitu safi Sana ushauri tu kwa sifa linazopata lijitu basi ndio sifa ambazo hata mkeo anazipenda basi jaribu kuliiga lijitu ili na we upate sifa kadha wa kadha kama kumsaidia wife kupika,kufua na kupiga story sana na muhimu ni kupunguza kitambi mana wife anaonrkana hapendi kitambi anataka Uwe kama lijitu,ila lijitu sio la kulichukia ni kujifunza tu mana elimu hauna mwisho sasa wewe ebdelea kupata lecture kwa lijitu ila kumbuka lijitu limekuzidi sifa kidogo hapo
 
Teh teh teh sasa mkuu huyo si ndugu yako kuliko kuendelea kukwazika binafsi ni bora uongee nae kumweleza ambavyo huvipendi
 
Mwambie binamu fanya yote lakin usimguse mke wangu tafadhar binamu....
 
Back
Top Bottom