mzungu wapink
Member
- Oct 9, 2018
- 80
- 114
- Thread starter
-
- #61
Tafuta asali Na mayai ya kienyeji Kisha uchanganye vyote alafu unywe Mara mbili kwa siku , itakusaidia.....pia usisahau mazoezi haswa kukimbia angalau dakika 20 kwa Kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
...Kama pia ni Wake...maana mkewe anaonekana Mtata na kama Mkuu ameishathibisha mwenyewe kwamba mamaa anapigwa nje, ana uhakika gani kwamba hao ni watoto wake??? [emoji848][emoji848]mzungu wapink, Pole na shukuru umepata watoto wapo wenye tatizo kama lako na hawapati watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Balaa...Kama pia ni Wake...maana mkewe anaonekana Mtata na kama Mkuu ameishathibisha mwenyewe kwamba mamaa anapigwa nje, ana uhakika gani kwamba hao ni watoto wake??? [emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
...Umemuuliza Swali Jema na Umempa Ushauri Mwema, Mkuu.Uume mdogo akilinganisha na wa nani, hili ndo swali la msingi zaidi. Ila mdogo wangu hapo hauna mke tafuta mke uoe
Sent using Jamii Forums mobile app
Vumbi la kongo, mundende sio suluhisho la kudumu! Ni papo kwa papo na athari yake ni kutosimamisha happy baadae!Tumia Mundende, vumbi ya kongo, al kasusu nk...acha nyeto na uanze mazoez mepesi unaokoa ndoa yako mapema tu...
Hi ni uhakika, pamoja na magome yake! Lakini pia afanye mazoezi ili moyo uwe na nguvu ya kusukuma damu kwa nguvu kwenda sehemu zote za mwili hasa kwenye uume.Tafuta mizizi ya mlonge mibichi chemsha kama vikombe viwili au tatu!!!kunywa kama chai asubuhi na jioni siku zote hadi tatzo likiisha!!!!UHAKIKA MKUU!!!KAMA HUJAELEWA NI PM!!!
#1. Anzia hapa: https://www.jamiiforums.com/threads...-na-kunywa-juice-ya-mchanganyiko-huu.1688712/Uume unasinyaa katikati ya game
Na wakati mwingine hasimami ndindindi
4 huwa sijisikii hamu hata week
mbona watu humu tuna 20 yrs experience of nyeto na bado mashine ipo firm na demu akijileta anapigwa ile mbaya.vijana too much suicide/self/nyeto ni hatari kwa afya...bora utafute hata mabeki 3 uruke nayo tu..kuliko kuja kuadhirika ukija kuowa kama mwana hapa..hela anayo lakini yupo kwenye ndoa akiwa hana furaha...
CHAPUTA ifutiwe usajili inapelekea vijana kuadhirika kwenye really relationships.....
Punyeto haina madhara ni Inshu ya saikolojia
Punyeto haina madhara ni Inshu ya saikolojia
Kama watoto ni wako hilo tatizo si kubwa ki hivyo, Cha msingi inakubidi ubadili mtazamo juu yako(self esteem) jikubali kuwa uko vizuri afu pia tendo ufanye kwa kujiridhisha wewe automatic utamridhisha mkeo ila tatizo umeweka kwa akili kwamba unatakiwa umridhishe mkeo ndio maana unafeli, Mwanamke akisha liwa mzigo nje huwezi mridhisha. Over
Eti?Kweli sometimes hua naumwacha kalala naingia washrooms
Sent by iOS
Kama alioa bikra basi ajue keshapata wa kumuonesha vitu tofauti...mpaka aje kutulia..mbona kazi ipo!Uume mdogo akilinganisha na wa nani, hili ndo swali la msingi zaidi. Ila mdogo wangu hapo hauna mke tafuta mke uoe
Sent using Jamii Forums mobile app