Mke wangu kanificha mengi, naomba ushauri

Pole sana kaka, inawezekana huo ndiyo usiri pekee ambao mkeo alikuw anao kwako na hilo lipo wazi kwa sababu ya kuhofia unyanyapaa wako kwa marehemu mkweo, sidhani kama kuna mengine ambayo amekuficha, rudisha moyo nyuma na usamehe, maisha yanatakiwa yaendelee.
 
Mkuu umeaga? Naona kama element za kichawi hapo
 
Sijaona big deal and especially now that Mama amefariki.

Labda huko kufariki tu.

Each family has its secret na zingine zinafanywa siri sababu wanaona aibu ama kwa kesi Yako wanaogopa kuwa judged kwa ugonjwa wa Mama yao.

Cha kufanya mliwaze mkeo mpaka hili lipite then kaa nae chini muweke Sawa kuhusu kilichotokea.

Ndoa ni kurekebishana. Don't give up on her.
 
Sema sijui kwann siku zote nice men wanaangukia kwa wanawake wakorofi ??! Sijui kwann wakorofi kama hao hawakutani na sisi vichwa maji?!! Yani mm ningempelekea kila kitu chake huko kwao pumbaavu zake! Yani mkuu huyo mke wako itakuwa kakuficha mengi sio hilo tu!! Af pia kuna mazingira uliyoyajenga ambayo yanayompa jeuri huyo mwanamke na kuhis huna cha kumfanya ndo maan hata hajakuomba msamaha mpaka sasa!!
 
We hujaelewa hyo miez mitatu mama kakaa nyumban kwa kufichwa! Jamaa hakuwa anajua mama anakaa maan mila zao haziruhusu kuingia chumban kwa mama mkwe!
 
Sio mke huyo aende kwao keenye nyumba ya FAMILIA akaishi
 
Umeandika ujinga wewe bora ungenyamaza tu
 
Mkuu ulichoongea hakina uzito kabisa, sidhan kama ulipata muda wa kukitafakari kabla hujapost.
 
Pamoja na yote utakuwa na shida wewe


Yaani mkweo anaumwa mke wako anashindwa kukwambia...sio lazima akwambie ugonjwa hata kukwambia mama anaumwa anashindwa

Jichunguze


Jitafakari
 
mkuu haya mambo yanaumiza sana lakini cha muhimu ni kupotezea tu,kikubwa angalia anakutimizia mahitaji yako(tunda)? hayo mengine tambua hakuna binadamu aliyekamilika...watoto wawili ndoa na ilindwe kwa garama yoyote
 
Pamoja na yote utakuwa na shida wewe


Yaani mkweo anaumwa mke wako anashindwa kukwambia...sio lazima akwambie ugonjwa hata kukwambia mama anaumwa anashindwa

Jichunguze


Jitafakari
Ukimsoma vizuri mtoa mada kajielezea vizuri kimila Zao chumba cha mkwe na choo marufuku kushare sasa mtoa mada alikuwa nasalimia mlangoni respond inakuwa nzuri tu, mwamba anaendelea na mishe zake
 
Pole sana,hapo kuna vitu vingi vinaendelea kati yenu wawili.Yaani kuna kitu hakiko sawa
 
Mkuu umesema mkeo ana ndugu zake wengine tena wakubwa kumzidi, vipi kwa hao wengine iwe aliowazidi au waliomzidi kiumri wenzi wao waliwapa hizi taarifa ambazo ww mwenzi wako alikunyima? Tuanzie hapa kwanza.
 
Ukorofi wake upo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…