Mke wangu kanikamulia maziwa

Mke wangu kanikamulia maziwa

Sijaoa lakini ndugu yangu umenizidi ujinga sana, haya mambo mengine sio ya kuleta huku JF regardless unatumia fake ID, unatudharirisha wanaume we mkulungwa unaonekana una utoto mwingi.

......Sasa kwani hayo maziwa yana shida gani? Mbona mwanao ananyonya yana mdhuru.? Em mengine muwe unamalizana huko huko chumbani na mkeo tu haina haja kumaliza chaji bure kuja kutype huku.
 
Kwani huwa yananyonywa au yanatomaswa? Mwanamke mwenye mtoto hanyonywi, anatomaswa na ulimi...
 
Aah lengo lako kunyonya maziwa sas mbon unalalamika baada ya kupewa na umeyataka mwenyewe..
 
"nilitamani kumzaba makofi ila nikaogopa kuamsha wanangu" [emoji1787][emoji1787] yan mkuu kila nikiimagine nacheka sana kwamba umetamani kumzaba makofi wakati wa kumuandaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanza mkuu uko mkoa gani maana juzi kati nimesikia mikoa flan huko wanakunywa sana hayo eti yanaongeza nguv za ki*me[emoji1787][emoji1787]
 
Umewahi kusikia Baby Gaga Ice cream [emoji509]?

Lady Gaga alifungua hotel London na alitaka kuanzisha kitu ambacho watu hawajawahi kula

Maziwa ya binadamu kutengeneza Ice cream
Aliomba wanawake wanaonyonyesha wa donate maziwa

Na yaliuzika sana unajua Wazungu tena wanapenda kujaribu kila kitu

Kwa hiyo usishangae
Next time mwambie akutengenezee chai maana ni organic na ni free range [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanajamvi mu hali gani?

Ni usiku wa jana tu haya yamenipata, mke wangu ana mtoto japo kashaacha kunyonya, muda mfupi uliopita, jana usiku akaniandaa safi tu, mimi siwezi kufanya mapenzi na mke wangu bila kunyonya matiti yake (samahani kwa lugha kali), basi nikaanza kunyonya, ghafla nashangaa nimekunywa maziwa.

Yaani amenikamulia tena makusudi kabisa, nikatema kwa hasira mno, namuangalia anacheka tu, nilitamani kumzaba makofi ila nikaogopa kuamsha wanangu. Ni mara ya nne hii ananikamulia maziwa yake, nasononeshwa mno na hali hii
Hivi pia anakukamuliaga yale maziwa ya papuchi unaponyonyaga

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Si ulimlazimisha kumuachisha mtoto kunyonya mwenyewe[emoji23]
 
Kwahyo mkuu kumbe ulishajua ukinyonya kuna maziwa na ukanyonya tena

#KUMBEUNAPENDASANAMAZIWAYAMKEO.
 
Halafu huu uzi kama utani utafikisha replies 1k [emoji2][emoji2][emoji2] maneno yangu hayadondoki.
 
Wanajamvi mu hali gani?

Ni usiku wa jana tu haya yamenipata, mke wangu ana mtoto japo kashaacha kunyonya, muda mfupi uliopita, jana usiku akaniandaa safi tu, mimi siwezi kufanya mapenzi na mke wangu bila kunyonya matiti yake (samahani kwa lugha kali), basi nikaanza kunyonya, ghafla nashangaa nimekunywa maziwa.

Yaani amenikamulia tena makusudi kabisa, nikatema kwa hasira mno, namuangalia anacheka tu, nilitamani kumzaba makofi ila nikaogopa kuamsha wanangu. Ni mara ya nne hii ananikamulia maziwa yake, nasononeshwa mno na hali hii
Sasa si ungekunywa maziwa hayo tu
 
Back
Top Bottom