Mke wangu kanikamulia maziwa

Mke wangu kanikamulia maziwa

Wanajamvi mu hali gani?

Ni usiku wa jana tu haya yamenipata, mke wangu ana mtoto japo kashaacha kunyonya, muda mfupi uliopita, jana usiku akaniandaa safi tu, mimi siwezi kufanya mapenzi na mke wangu bila kunyonya matiti yake (samahani kwa lugha kali), basi nikaanza kunyonya, ghafla nashangaa nimekunywa maziwa.

Yaani amenikamulia tena makusudi kabisa, nikatema kwa hasira mno, namuangalia anacheka tu, nilitamani kumzaba makofi ila nikaogopa kuamsha wanangu. Ni mara ya nne hii ananikamulia maziwa yake, nasononeshwa mno na hali hii
Yaani unyonye matiti ya mama aliyeacha kunyonyesha usipate maziwa kwa nini?,eti mdomo yakajaa mziwa wakati unanyonya ulitegrnea mdomoni kujae kitu gani?

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
siku hizi wanagema ulaya kupunguza kansa ya maziwa so yanauzwa africa bei poa lkn wengi hawajui tu!!
 
Wanajamvi mu hali gani?

Ni usiku wa jana tu haya yamenipata, mke wangu ana mtoto japo kashaacha kunyonya, muda mfupi uliopita, jana usiku akaniandaa safi tu, mimi siwezi kufanya mapenzi na mke wangu bila kunyonya matiti yake (samahani kwa lugha kali), basi nikaanza kunyonya, ghafla nashangaa nimekunywa maziwa.

Yaani amenikamulia tena makusudi kabisa, nikatema kwa hasira mno, namuangalia anacheka tu, nilitamani kumzaba makofi ila nikaogopa kuamsha wanangu. Ni mara ya nne hii ananikamulia maziwa yake, nasononeshwa mno na hali hii
Keshakuwa mama yako huyo kwa vile kakunyonyesha. Tafuta mke mwingine🤣
 
Back
Top Bottom