Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

Huntsman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
649
Reaction score
613
Wana MMU,

Hasa mlio katika ndoa nishaurini jinsi ya kukabili jambo hili liishe.

Iko hivi, mke wangu na mimi tumekuwa tukiishi vizuri tu sasa yapata week moja nzima iliyopita nilikuwa kwenye mihangaiko nje ya Dar. Nilirudi siku ya Jumapili asubuhi nikajiandaa haraka na kwenda Church.

Niliporudi home nikala chakula na ndugu zangu tukawa tunaongea hadi jioni sana wakaondoka. Basi baadaye nikamfuata wife chumbani nikamueleza jinsi nilivyomu miss n.k cha ajabu nakuta kanuna tu from no where basi nikakaa naye nikawa naongea naye politely juu ya safari yangu na nikamuonesha returns zote nilizopata etc.

Baada ya chakula cha usiku tumekwenda kulala mwenzangu akaninyima unyumba tena kwa maneno ya kejeli na dharau fulani hivi na majibu ya mkato juu. Nilijaribu kuwa humble na kumuuliza wapi nimekosea lakini jibu lilikuwa hakuna tatizo lolote. Mwishowe alinijubu kuwa nisimsumbue nimuache alale. Ikabidi niwe mpole nilale yaishe.

Asubuhi ilinibidi niondoke tu kurudi kwenye mihangaiko yangu. Tangu siku hiyo hata leo hanitafuti wala chochote kile yupo kimya tu. Katika kuwaza waza nimeona kuwa pamoja na kuomba juu ya hali hii let me do my job and fulfill my part kama baba mwenye nyumba mengine niache kwa muda nione kama atajifunza au la. Sitachepuka kwani am done with michepuko pia sitamuomba unyumba for sometime. Asipojirudi kwa muda fulani nitapanga kuwaelezea baadhi ya ndugu zake kuhusu yeye ili wamwelekeze.

Swali langu ni Je, will that cure the problem? Wewe mwanaume/mwanamke ulishakumbwa na hali kama hii na je ulisolve vipi?

(Wanawake muwe makini sana na jinsi mnavyobehave kwenye ndoa zenu mnachangia sana wanaume kuchepuka bila kudhamiria na mnaharibu nyumba zenu kwa tabia kama hizi)

NB: Jisikie huru kuchangia chochote.
 
Labda ma wii wamemkoromea.

Mwanamke ni msiri anaogopa kuwagombanisha undugu wenu.

Saaa we ukaanza na habari za kudo badala ya kuuliza habari za hapa?, mmeshinda vema?, hamna jipya?, dada/kaka zangu walikuwa wanasemaje n.k

Huwezi kudo km mwenzio ana chanzo cha gubu.
 
Ongeza mke wa pili joh

Kiburi kitamtoka tu huyo

Tafuta binti mmoja matata mweke ndani,
 
Huwa unamchafuwa tu, humpi akaridhika.

Jisomee: The Perfumed Garden Index
Leo bibi umeachangia pumba kabisa, Kijana anaomba ushauri wa jinsi ya kuirudisha ndoa yake iwe na amani wewe unasema hayo ulioyaandika.

Kwa kipindi chote hiko walichokuwa wakiishi pamoja mbona hakumnyima huo mpododo ila imetokea baada ya mheshimiwa kusafiri.

Toa ushuri mzuri kama vile unamshauri mjukuu wako bibi. Nyinyi ndio vibibi vya mwendo kasi mnatoa ushauri kama watoa ramli chonganishi.
 
labda ma wii wamemkoromea.


mwanamke ni msiri anaogopa kuwagombanisha undugu wenu.

saaa we ukaanza na habari za kudo badala ya kuuliza habari za hapa?, mmeshinda vema?, hamna jipya?, dada/kaka zangu walikuwa wanasemaje n.k

huwezi kudo km mwenzio ana chanzo cha gubu.

Mkuu ukisoma vizuri nalifanya yote hayo sikukurupuka. Fikiria hadi point ambapo Nampa mrejesho wa safari yangu pia nilikokwenda na yote niliyopata etc. It was not just to jump to sex. Kuhusu mawifi kumkoromea mbona hata siishi nao? Na kama wamemkoromea why asiniambie wakati namuuliza what's wrong?
 
Huwa unamchafuwa tu, humpi akaridhika.

Jisomee: The Perfumed Garden Index

Oh, my master, they must have cheeks like ours.' 'And what besides?' said Ben Merouane. She continued: 'And hairs like ours; finally they should be like to you, O prince of believers, for, surely, if a man is not strong and rich he will obtain nothing from women.'
 
Back
Top Bottom