Huntsman
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 649
- 613
- Thread starter
- #21
Leo bibi umeachangia pumba kabisa, Kijana anaomba ushauri wa jinsi ya kuirudisha ndoa yake iwe na amani wewe unasema hayo ulioyaandika.
Kwa kipindi chote hiko walichokuwa wakiishi pamoja mbona hakumnyima huo mpododo ila imetokea baada ya mheshimiwa kusafiri.
Toa ushuri mzuri kama vile unamshauri mjukuu wako bibi. Nyinyi ndio vibibi vya mwendo kasi mnatoa ushauri kama watoa ramli chonganishi.
Barikiwa sana mkuu kwa point nzuri. Yani watu wengine sijui wanawashauri nini wajukuu zao kwa ushauri huo. Asante sana.
Na by the way nilitaka kujua experience ya watu walioko married je solution ninayoiwazia hapo juu is it positive?