Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

Yaani wewe badala ya kurudi home kuanza kuongea na mkeo aliyekumiss ukakimbilia kwa ndugu

Wakati mnalala hata kumpeti peti kumuuliza yaliyojiri...hali yake nk unataka kumparamia????

Anyway... atakuwa poa mtanjinjuana tu
 
tatizo ni Hilo tu unategemea angekujibuje wanawke wengi tu napenda kununa hata ukikosa hayo mambo kisawasawa endelea kumbembeleza atakupa tu

Sasa kununa ndio unaleta na majibu ya dharau na mikato? Unabembelezwa umenuna tu? Mume ametoka safari hata kumjali hakuna? Hivi mnatufikiriaje? Don't you know mnachangia kiharibu familia?
 
Yani kuna vitoto vibichi kabisa toleo jipya halafu huangaike na mtu anayenuna tu bila kusema shida nini?

Yani Magufuli atujaze stress na nyumbani nako stress? Labda siyo mimi huyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mtoa mada anampenda mkewe
 
Sasa kununa ndio unaleta na majibu ya dharau na mikato? Unabembelezwa umenuna tu? Mume ametoka safari hata kumjali hakuna? Hivi mnatufikiriaje? Don't you know mnachangia kiharibu familia?
pole mkuu una mda gani unanyimwa huo unyumba mie najua ni Hasira ya kipindi kifupi hatimay yanakwisha tena tunanuniana chumbani may be ana lake jambo
 
Hivi lakini katika akili ya kawaida tu utakuwaje na kimke kimoja tu? Hizi ni shida za kujitakia au roho za kichoyo yani pesa yako unataka ule na mkeo tu.

Weka kidumu, muweke mama likizo timiza mahitaji yote nyumbani kama siku hujarudi ukakuta kashaliandaa papa mwenyewe yuko ndani ya night dress na uombi game analianzisha yeye. Nyinyi macrusader mna tabu sana.
 
Yaani wewe badala ya kurudi home kuanza kuongea na mkeo aliyekumiss ukakimbilia kwa ndugu

Wakati mnalala hata kumpeti peti kumuuliza yaliyojiri...hali yake nk unataka kumparamia????

Anyway... atakuwa poa mtanjinjuana tu

BADILI TABIA embu soma tena uzi wangu uelewe. Wageni walikuja home na baada ya kuondoka ndipo nikamfuata tukawa tunaongea yote kuhusu safari na mambo ya nyumbani tena wakati wageni wapo home nilimfuata room nikamwambia asijifeel isolated wakiondoka nitakuwa naye. Na wageni tuliwasindikiza pamoja naye yaani to my surprise ikawa hivyo later tulivyokubaliana home sikusema yote hapo kuhofia uzi kuwa wa kuchosha sana kusoma. Please advise
 
Matolnakuelewa 18587126 said:
Yani kuna vitoto vibichi kabisa toleo jipya halafu huangaike na mtu anayenuna tu bila kusema shida nini?

Yani Magufuli atujaze stress na nyumbani nako stress? Labda siyo mimi huyo.
Mkuu Matola nakuelewa lakini natafuta Positive solution as I know mchepuko won't be positive and I am done with that
 
Dawa ya mke kama huyo ni kutafuta msaidizi wake tu, tafuta wasaidizi walau wawili nje ili uwe busy mpaka mungu anaona. Asikuletee utata kabisa ndani ya serikali ya JPM.
 
pole mkuu una mda gani unanyimwa huo unyumba mie najua ni Hasira ya kipindi kifupi hatimay yanakwisha tena tunanuniana chumbani may be ana lake jambo

Huwa inajitokeza then nikisema anajirekebisha then yanajirudia sasa ni too much.
 
BADILI TABIA embu soma tena uzi wangu uelewe. Wageni walikuja home na baada ya kuondoka ndipo nikamfuata tukawa tunaongea yote kuhusu safari na mambo ya nyumbani tena wakati wageni wapo home nilimfuata room nikamwambia asijifeel isolated wakiondoka nitakuwa naye. Na wageni tuliwasindikiza pamoja naye yaani to my surprise ikawa hivyo later tulivyokubaliana home sikusema yote hapo kuhofia uzi kuwa wa kuchosha sana kusoma. Please advise
Basi ana stress zake tu

Au anakaribia mp

Msamehe bure wanawake wana mood swing za ajabu
 
Kama umeoa au bado cku na we we upate tatizo lakibnadamu ushindwe kushinduaa mkeo au mpenzi wako nae atafute wakumshinduaaa hope utajifeeel muruaaaaa!!!!!!
Kwani wewe tangu enzi za manabii au katika vitabu vyote ulivyosoma ni waoi ulikuta mwanamke ana mume zaidi ya mmoja?

Huu upuuzi ulioandika hapa ni madhala ya ule mkutano wa Beijing, bado mpo watu msiojielewa mnadhani kuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume. Hakunaga.
 
Asije kua mjamzito??yashantokea hayo nna uzoefu wa kuotosh na njia niliyotumia ni kumtafutia zawad tofauttofaut mara kwa mara bas mwenyewe akifurahi utajikuta unachojoa kyupi taratiiibu mtoto katulia,ni mtihan sana hawa viumbe.
 
Back
Top Bottom