strongfeelings
Member
- Oct 25, 2016
- 38
- 24
Mambo ya ndo duuuu ujinga xana bhan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Possibly your wife ana tatizo ambalo ameshindwa kukuambia, wanawake sisi ni wasiri sana maana kuna ambao tumeumbwa kuweka mambo moyoni yaani kutoyasema na kuna wengine wakiwa na kitu they dont keep it,they will say once for all. Cha kufanya mtoe mkeo like for dinner, wewe na yeye tu, sehemu tulivu umuulize kwa upole, am sure atakuambia kama kuna jambo linamsumbua. All the best mkuuWana MMU,
Hasa mlio katika ndoa nishaurini jinsi ya kukabili jambo hili liishe.
Iko hivi, mke wangu na mimi tumekuwa tukiishi vizuri tu sasa yapata week moja nzima iliyopita nilikuwa kwenye mihangaiko nje ya Dar. Nilirudi siku ya Jumapili asubuhi nikajiandaa haraka na kwenda Church.
Niliporudi home nikala chakula na ndugu zangu tukawa tunaongea hadi jioni sana wakaondoka. Basi baadaye nikamfuata wife chumbani nikamueleza jinsi nilivyomu miss n.k cha ajabu nakuta kanuna tu from no where basi nikakaa naye nikawa naongea naye politely juu ya safari yangu na nikamuonesha returns zote nilizopata etc.
Baada ya chakula cha usiku tumekwenda kulala mwenzangu akaninyima unyumba tena kwa maneno ya kejeli na dharau fulani hivi na majibu ya mkato juu. Nilijaribu kuwa humble na kumuuliza wapi nimekosea lakini jibu lilikuwa hakuna tatizo lolote. Mwishowe alinijubu kuwa nisimsumbue nimuache alale. Ikabidi niwe mpole nilale yaishe.
Asubuhi ilinibidi niondoke tu kurudi kwenye mihangaiko yangu. Tangu siku hiyo hata leo hanitafuti wala chochote kile yupo kimya tu. Katika kuwaza waza nimeona kuwa pamoja na kuomba juu ya hali hii let me do my job and fulfill my part kama baba mwenye nyumba mengine niache kwa muda nione kama atajifunza au la. Sitachepuka kwani am done with michepuko pia sitamuomba unyumba for sometime. Asipojirudi kwa muda fulani nitapanga kuwaelezea baadhi ya ndugu zake kuhusu yeye ili wamwelekeze.
Swali langu ni Je, will that cure the problem? Wewe mwanaume/mwanamke ulishakumbwa na hali kama hii na je ulisolve vipi?
(Wanawake muwe makini sana na jinsi mnavyobehave kwenye ndoa zenu mnachangia sana wanaume kuchepuka bila kudhamiria na mnaharibu nyumba zenu kwa tabia kama hizi)
NB: Jisikie huru kuchangia chochote.
Kumbe nawewe una majibu ya hovyo hivi? Umejipunguzia heshima niliyokuwa nakupa
Leo bibi umeachangia pumba kabisa, Kijana anaomba ushauri wa jinsi ya kuirudisha ndoa yake iwe na amani wewe unasema hayo ulioyaandika.
Kwa kipindi chote hiko walichokuwa wakiishi pamoja mbona hakumnyima huo mpododo ila imetokea baada ya mheshimiwa kusafiri.
Toa ushuri mzuri kama vile unamshauri mjukuu wako bibi. Nyinyi ndio vibibi vya mwendo kasi mnatoa ushauri kama watoa ramli chonganishi.
Mkuu inatokea ila mpe muda tu .. ukizidiwa mbakeNdugu zangu wana MMU ninaomba msome mada yote niliyoiandika je hayo niliyoyaandika kuwa nayafikiria as a solutionis it positive solution kwa maoni yenu?
najua sana kwani ungempa mara moja ukaenda ingekuwaje?ona madhara yake sasaSawa sitakupinga kwa hilo kwa sababu huenda Hukujua umuhimu wa Mungu katika maisha.
Hana ujauzito nimejaribu kumuuliza tangu usiku ule anasema Hana tatizo lolote huwa nahuzunika kwa jibu hili kwa sababu linaashiria mtu hataki suluhu yoyoteKabla ya kumfikiria vibayaa angaliaa kama kuna ulipokosea pasipo we kujua ongea nae mdomdoo tuu utajuaa. Hana ujauzito? Maanaa mimba zingne huwa visiran kweli zinaua sensor za utamu kwa mwanamke kabisaa hataki hata kuguswaa
hata biblia inasema msinyimane sasa ikawaje kwakoMimi kwangu Mungu ana nafasi kwanza kabla ya kingine na mke anafahamu hilo sidhani kama ni tatizo lolote kwake
Atakuwa Ana lake we simamia mambo yako kama baba afu mchunguze taratibu tuu utagundua tatizo liko wap hataa ckua akiamua kukupa zigo we gongaa lakn ile cku iweke akilin na umuulize ilikuwajee mkiwa mnapiga story za kawaida tuu atakwambiaa lakn ukisema utumie nguvu au kususa au kutafuta ka power bank utakoroga mamboHana ujauzito nimejaribu kumuuliza tangu usiku ule anasema Hana tatizo lolote huwa nahuzunika kwa jibu hili kwa sababu linaashiria mtu hataki suluhu yoyote
tatizo ni Hilo tu unategemea angekujibuje wanawke wengi tu napenda kununa hata ukikosa hayo mambo kisawasawa endelea kumbembeleza atakupa tuMkuu nilikuwa nimeshachelewa na hakuwa na tatizo juu ya hilo kwa wakati huo alinelewa isipokuwa usiku akaleta utata
Nimesoma! Inaonesha tayari kuna gap kati yako na mkeo Mkuu!
Swali la kwanza: Wakati unarudi home uliongea naye? (kutoka huko kwenye utafutaji)
Swali la pili: Ulivyorudi kuna Jambo lolote ulimfanyia kuonesha ulimmisi? Maana inaonesha kama vile ulivyorudi yeye hakuwa priority,
Ushauri kwa wenye Ndoa wote, Usikubali kabisa kulala na Mkeo bila kupatana! Haipendezi, Jitahidi yani ikiwezekana Jifanye Boya ili mradi yaishe na Mlale wote kwa Amani
Mwisho: Mwanamke ni Mwepesi sana kusikiliza habari za watu nje na kuzifanyia kazi, Lakini wangelikuwa wanajua kwamba hao hao wanaowashauri ndiyo hufurahia wakiharibikiwa wasingewasikiliza.
Dondoo: Utafiti unaonesha upendo wa kweli upo na huwa hauishi, isipokuwa watu wanapotengana wanakuwa wamepeana likizo ya kuumizana, wanawake ndiyo watu ambao wana uwezo wa kumsoma mwanaume kwa haraka zaidi kuliko kawaida, kama kuna Jambo mwanaume analifanya akizania mkewe hawezi kujua anajidanganya, ukweli ni kwamba mwanamke anamjua mwanaume hadi harufu yake aliyoondoka nayo na kurudi nayo, isipokuwa wanawake huwavumilia wanaume kwa sababu tu bado wanawapenda lakini siyo kwamba hawajui.
So kama vipi Jicheki upya.,.....
Kama umeoa au bado cku na we we upate tatizo lakibnadamu ushindwe kushinduaa mkeo au mpenzi wako nae atafute wakumshinduaaa hope utajifeeel muruaaaaa!!!!!!Dawa ni kuwa na mchepuko tu.