Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

[QUOTE="Joycefull, post: 18589964, member: 384752"eeh vzr kbs
Sawa basi ni PM namba zako Kabisa nisave maana si mtembeaji Humu JF mara kwa mara kama uko serious akinivaa tu nakustua[/QUOTE]
uwiiiii uwiii hujaona dalili za kukuvaa mazima?
 
Ulikuja haraka haraka ukajiandaa ukaenda church hujapiga hata kimoja chaap??? hukuwa na ukata ulioitia sehemu. acheni utani.
 
Ulikuja haraka haraka ukajiandaa ukaenda church hujapiga hata kimoja chaap??? hukuwa na ukata ulioitia sehemu. acheni utani.

Siku pita sehemu soma Post zote nimeeleza vizuri halafu urudi kunishauri
 
Mkuu Mungu ni wa muhimu sana kuliko yote tuyafanyayo..
Wanawake tuna visilani ambavyo havina umuhimu wowote hata ungekua umefanya kosa alipaswa kukupa kwasbb ni haki yako thn akimaliza ndo aendelee na mnuno.
Na sioni kosa la ww kukaa na wageni kwasbb uwezi acha wageni alafu unaenda tafuna tunda mawazo yasinge kuwa apo..
Mpeleke shm nzuri ikiwezekana mlale uko na umweleze kuwa aichokifanya hukukifurahia..
Na inabidi abadilike naamini atasema kinachomsibu...
kuna jinsi ya kumuadhibu mwanaume atajua tu amekosea sio kusitisha huduma..
 
Ila awa viumbe niwaajabu sana unaweza akakununia pasipo sababu me inanitokea sana adi asaivi wala aniumizi kichwa akianza to ujinga wake bas me nakua busy na dogo kupita kias tutaenda beach nitamnunulia zawad kibao to yy wala si muulizi chochote adi mwenyewe ajiona mjinga baadae anakua mpole najichekesha uck mzigo anatoa bala ya kumuomba
 
Siku pita sehemu soma Post zote nimeeleza vizuri halafu urudi kunishauri

Hao ndugu zako mliongra mambi yakumsema? je ni wale ndugu waropikaji? siku nhingine ukitoka kazini chukua hata dakika 5 mhagii mkeo deeply rashia hata cha jujuu ndo utike jamani mbona hivyo? Wanawake wakiwa na nyege pia hununa.
 
Alipaswa kujumuika na wageni pia naamini walikuja kuwasalimia wote..
Pole mkuu

wew unachekesha kweli unafika asb badala kumsugua unawahi ibadani siungekua padre sasa hata mie ningenuna
 
Yaani kata mawasiliano katika hiyo kitu, mwisho wa siku atajileta, muulize hizo kejeli alizitoa wapi?? Itatibu tatizo lakini lazima uwe mvumilivu up 6 months
 
Dah...hutapata solushen yoyote ya maana humu....huyo ni mke wako wewe...[emoji13] [emoji13]
 
Hao nunaumko mliongra mambi yakumsema? je ni wale ndugu waropikaji? siku nhingine ukitoka kazini chukua hata dakika 5 mhagii mkeo deeply rashia hata cha jujuu ndo utike jamani mbona hivyo? Wanawake wakiwa na nyege pia hununa.
Hatukuongea mambo mabaya wala yanayomhusu hata kidogo yaani inauma na kukasirisha
 
Chapa kazi acha kulalama ooh aijapewa unyumba labda hajisikii vizuri ana depression maana shida zimezidi then wewe unaleta mambo yako yakutaka kumgegeda unafikiri atakula sperms zako?? Chapa kazi
 
Natumaini na ujumbe huu umemfikishia mkeo wako '' (Wanawake muwe makini sana na jinsi mnavyobehave kwenye ndoa zenu mnachangia sana wanaume kuchepuka bila kudhamiria na mnaharibu nyumba zenu kwa tabia kama hizi) ''

Ndoa ni tamu mno jamani. Purukushani ni sehemu ya maisha yenyewe.
 
Asante sana Nyankuzi kwa kuelewa situation halafu kiburi na dharau vilinihuzunisha sana niliamua kujifanya mjinga tu mambo yaende. Hivi wanawake msipo simama vizuri kwenye Ndoa zenu tutapona? Mnatulazimisha wakati mwingine kufikiria mabaya
 
Ni kweli wanawake tunachangia sana wanaume kuchepuka. Mama simama kwa ajili ya familia yako dharau,majivuzo, kebehi na jeuri ziache mlangoni.
Ukiingia ndani kuwa mpole

Yaani i wish niwe natoa semina ingawa bado sijaingia kwny iyo taasisi..
 

Sasa hivi sijisikii kusema chochote labda nikisema nitamwambia
 
Ni kweli wanawake tunachangia sana wanaume kuchepuka. Mama simama kwa ajili ya familia yako dharau,majivuzo, kebehi na jeuri ziache mlangoni.
Ukiingia ndani kuwa mpole

Yaani i wish niwe natoa semina ingawa bado sijaingia kwny iyo taasisi..

Bora utoe kwa Hawa viumbe aisee ni kazi sana hivi hapa nikipata sehemu ambako napata huduma zote na Heshima juu si nitaonekana mimi ndiye chanzo? Hata kukaa mwanamke hutumii Lugha nzuri jamani? Aisee kazi kweli kweli. Kama mimi niliyeacha hii michepuko ina maana niirudie ili aone kuwa mimi kidume maana Heshima amepewa haithamini
 
Haaaaa pole sanaaa mm mke wng alijifanya haongei na mm nami ndo sijamusemesha wala akipika chakula chake nilikuwa singusi kabsa haaaaa mbona alinyooka mwenyew na kuanza kuomba msamaha
Mkuu ulifanya jambo zuri sana....hata kulala sebuleni ili yeye alale peke yake....hapo ungekua unamtesa kisaikolojia kabisa....Lazima angefunguka.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…