Mke wangu kanipa wakati mgumu

Mke wangu kanipa wakati mgumu

Shida ni kwamba itakuwa ilishashituliwa kitambo hadi mtu kachoka, ni ile hali yeye yupo kwenye ndoa miaka 30,lakini kuna mwamba yupo humo humo miaka 10.
Hii inauma, dingi atulie tu wale mafao .
Too late...
Tena unaweza kuta kati ya hao watoto nne,Mwamba nae ana mbegu yake hapo,na ndiyo maana mawasiliano hayawezi kwisha moja kwa moja!! Wanawake wana siri sana!!
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida.

Mbaya zaidi hizo msg alizokuwa anatuma kwa huyo bwana( siwezi kumwita hawara kwa sasa) ilikuwa ni kama yeye anataka mahusiano yaendelee, maana mwanaume alikuwa akimjibu kwa mkato tu.

Mke- kwema, kimya
Mume/ baada ya siku tano/- kwema nipo, sawa
Mke- mmm sawa hiyo vipi,
Mume/ safi
Mke — mvua tu

Baada ya wiki
Mume— mzima wewe
Mke—upo poa wewe
Kwema tu, hofu kwako,
Kimya jamani, naona umetupa jongoo na mti wake,
Jua kali tu ee utadhani limeshuka.

Mume, nipo , hujibu SMS zangu!
Mke— saa ngapi tena wewe ndio hujibu.
Mume—- hahahaa upo!

Mke— nipo kuzeeka tu ndio kumepamba moto.

Mume—- aaa baba ajambo

Mke—- yupo tu aliacha na kazi sasa hivi yupo tu nyumbani.,
Mume—/ poa

Mke tena baada ya wiki
Mke —Upo kaka, za uzima!

Mume— poa.

Baada ya kushindwa kuvumilia na kuepusha kuona maajabu zaidi, nimeamua kulileta hili hapa ili mnisaidie, mke wangu bado nampenda, lakini nataka nijue nini kinaendelea,

Swali je nimuulize au nivumilie kidogo.

Watoto tunao wanne na wana maisha yao.
bro!! kapange chumba,utakufa kwa pressure!!
 
Ndio maana imeniumiza sana, maisha yalikuwa mazuri sana,
Kwangu mimi nijiamini nilikuwa mwaminifu sana kwake ,
Na kazi yangu bahati nzuri au mbaya ilikuwa ni kusafiri sana,
Hata niwe wapi ataniaga anatoka anaenda sehemu na mimi bila wasiwasi namruhusu, na mtaani ni mtu ana heshima sana.
Sijawahi kumuamini mwanamke, bali namuheshimu pekee.
 
Miaka 30 ya ndoa ,watoto 4

30 yando +29yakuzaliwa b4 ndoa##,mnamika 59

Badala ushukuru umepata msaidizi ili angalau uishi 77 kama Nyerere

Ushauri kwako
Kwa umri huo achana nakupenda ngono ,andaa mlomkamili , rejesha vitamini c kwa nguvu unazopoteza kwawingi kutokana na umriwako
 
Kinachomuuma mtoa uzi ukute yeye kwenye hiyo miaka yote 30 ya ndoa na hata alivyokuwa kule Ulaya hakuwahi kuchepeka Nyamaiso
 
Tena unaweza kuta kati ya hao watoto nne,Mwamba nae ana mbegu yake hapo,na ndiyo maana mawasiliano hayawezi kwisha moja kwa moja!! Wanawake wana siri sana!!
Dah! Noma aisee
 
kuna wanaowakamata ugoni ila wanaendelea kuishi ,kuna wanaonusurika kupewa sumu ila wanaendelea na ndoa!
amua utakacho, hapa jf hakuna mawazo ya kutoaheleza moyo wako ujje, maana sitaki nataka haina ushauri
 
Back
Top Bottom