Mke wangu kanipa wakati mgumu

Shida ni kwamba itakuwa ilishashituliwa kitambo hadi mtu kachoka, ni ile hali yeye yupo kwenye ndoa miaka 30,lakini kuna mwamba yupo humo humo miaka 10.
Hii inauma, dingi atulie tu wale mafao .
Too late...
Tena unaweza kuta kati ya hao watoto nne,Mwamba nae ana mbegu yake hapo,na ndiyo maana mawasiliano hayawezi kwisha moja kwa moja!! Wanawake wana siri sana!!
 
bro!! kapange chumba,utakufa kwa pressure!!
 
Sijawahi kumuamini mwanamke, bali namuheshimu pekee.
 
Miaka 30 ya ndoa ,watoto 4

30 yando +29yakuzaliwa b4 ndoa##,mnamika 59

Badala ushukuru umepata msaidizi ili angalau uishi 77 kama Nyerere

Ushauri kwako
Kwa umri huo achana nakupenda ngono ,andaa mlomkamili , rejesha vitamini c kwa nguvu unazopoteza kwawingi kutokana na umriwako
 
Kinachomuuma mtoa uzi ukute yeye kwenye hiyo miaka yote 30 ya ndoa na hata alivyokuwa kule Ulaya hakuwahi kuchepeka Nyamaiso
 
Tena unaweza kuta kati ya hao watoto nne,Mwamba nae ana mbegu yake hapo,na ndiyo maana mawasiliano hayawezi kwisha moja kwa moja!! Wanawake wana siri sana!!
Dah! Noma aisee
 
kuna wanaowakamata ugoni ila wanaendelea kuishi ,kuna wanaonusurika kupewa sumu ila wanaendelea na ndoa!
amua utakacho, hapa jf hakuna mawazo ya kutoaheleza moyo wako ujje, maana sitaki nataka haina ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…